Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

Unajua ni kwasababu gani hakukuambia kwa wakati huo unaouongelea wewe? Au umeamua tu kumhukumu kwasababu unamdai?
Wala simdai chochote na hata ikitokea siku akaomba msaada kwangu bado nitamsaidia. Sijamhukumu kwa lolote.
 
Umeandika ukweli mtupu mkuu. Ni changamoto sana kuwasaidia maana ule msaada unagusa moyo wake na unamfanya aufungue mwili wake. Nadhani hiki kitu ni cha kiasili zaidi na sio kwamba ni uovu.

Huwa inashauriwa sana hata mwanaume aliyeoa anatakiwa awe anampatia mke wake kiasi fulani cha pesa kwa mwezi. Hii itasaidia sana kwa mwanamke kujitoa katika tendo la ndoa na kupunguza kunyimana.
 
Ndiyo maana simsaidii mtu pesa, isipokuwa msiba.

Zile mizinga za mtaji, kusoma, n.k sitakagi.

Binadamu Mwafrika ni wa ajabu sana.
 
Ila siku hizi Kuna wanaume wanapenda kuombaomba Ela, kuzoeana tu nongwa, na Wala hajawai kukusaidia chochote.
 
Kwani kukukopesha lazima? Acha ushamba
 
Sasa kama hivyo sii bora nikatombeee malaya.
 
Sasa kama hivyo sii bora nikatombeee malaya.
Ukioa halafu ukapata fursa ya kukaa na watu wazima walioishi vizuri na wake zao watakupa hii siri. Lazima ulipie hata kama ni mke. Ukipuuza hili kila siku atakupa sababu kwanini hajisikii kufanya.

Kwenda kwa malaya ni kwa watu wasiostaarabika na wanaoepuka kutumia hekima na ufahamu maishani.
 
Usikute na yeye alifanya hivyo ili kufidia maumivu ya penzi ulilomkatisha
 
Haonwake wenyewe hawajastaarabika kama mbususu mpaka ulipwe mshahara
 
Wanaosaidia hawaumii wakikataliwa.. Wanaoumia huwa wanasadia kwa kutegemea kurudishiwa.. WANASAHAU TENDA WEMA NENDA ZAKO
Lengo la uzi ni kushirikisha uzoefu ili pengine dada zetu wasifanye hivi maana sio ustaarabu. Kusaidia jamii hakuwezi kuachwa kwasababu ya makosa ya mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…