Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

mapenzi ni ya wawili na kama mshkaji atakuwa ameridhia basi happy for them,but pia inaweza kumkosesha amani na hasa ukuzingatia mwanaume ndo anatakiwa kufanya hayo,but kama yuko happy ts oky.
 
Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.

Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.

Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
 
mapenzi ni ya wawili na kama mshkaji atakuwa ameridhia basi happy for them,but pia inaweza kumkosesha amani na hasa ukuzingatia mwanaume ndo anatakiwa kufanya hayo,but kama yuko happy ts oky.

Aiseeeee mie niletee huyu wa namna hii
 
Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.

Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'

Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.

Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.

Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
 
Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.

Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'

wewe Upper class woman lol
ni pm hiyo movie
 
Mmmhhh mke mwenzangu hapo mabanoni yametukuta wengi kumbe.....lol. Ila tusiwakatishe tamaa hawa ndugu zetu maana hizo ni zawadi inabidi wazibebemo hahahaaaaaa. Mie nilikosea nikabeba vyangu nilivyoanza navyo maisha(yani niliamua kuvihamisha kutoka nyumba hii kuingia nyumba hiyo niliyoenda kujumuika na taahira wangu) nikaona nikachanganya na vyake itasaidia kumbe loooh borea ningempa mama yangu hata kama angevitupia stoo viliwe na panya ni heri......lol

Mke mwenza wewe ndo umenena hapo kwenye mabano nimechekaje mie nilikuachia nikajua utadumu kumbe yamekukuta ka ma yangu (Mie wangu sio taahira ni mbwa kachukua mpaka gari, laptop nk acha tu yaani)
 
Huyuu jamma amepewa mtihani mgumu katika maisha kama kwao hamna kitu atakuwa amejifunga kwa maoni yangu si vyema kwa mwanamke kwenda na vitu vyote. Ni vizuri mkisha oana mtafute vitu wote pamoja.
viyu vyenyewe vimetoka kwa mama kwa hiyo mama na mkewe ndo watakuwa na sauti na vitu hivyo
 
Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.

Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'

Teh teh teh i want i want i want......nidekshie basi hilo jina
 
Mke mwenza wewe ndo umenena hapo kwenye mabano nimechekaje mie nilikuachia nikajua utadumu kumbe yamekukuta ka ma yangu (Mie wangu sio taahira ni mbwa kachukua mpaka gari, laptop nk acha tu yaani)
Dena Amsi hebu kaa chini jiulize hivyo vitu vimemfikisha wapi??!!!nna imani atakua anatanga tanga tu hana mbele wala nyuma,alisahau kuwa ni mambo ya kupita tu hayo(tena kumuita taahira nimempa cheo cha kipekee,sina jina litakaloweza kumfananishia yooote unayoyajua wewe mabaya wallaih kwa kile kiumbe yatakua mazuri sanaaaa labda nimuite JINI) Sala/maombi ndio kimbilio letu......pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Wale wale kwa nini hufikiri kutafuta pamoja unafikiria kushukuru.... unafikiri kwa kujaziwa nyumba ndio ugumu wa maisha utakuwa umeisha jamani ndoa ni zaidi ya makochi masufuria na mazagazaga yote.

watu wanaongea tu...wanawake tulivo ni ngumu sana mimi nitaenda na chupi tu kwa kweli

Umeona eeh. Haya mambo watu hawaoni kuwa ni tatizo mpaka pale ndoa inapoanza migogoro...ndio utajua kama gari ni lako au walikupa wakwe. Lol.

Si kuna mtu alitimuliwa na mfuko wa rambo maana nyumba ya wife.

Afu wanawake wengi hatunaga huruma hasa mume akianza ukichehche...ni ngumu kuvumilia ushenzi wakati mtu yuko kama mkimbizi hana kitu.
hizi post 3 zimenifanya nicheke hapa ofisini

Umenijibu kwa ufasaha kabisa
Na hiyo ndio ilikuwa point yangu kuwa kuachana kwa sababu tu ya pesa si lazima
Kama kuna sababu zingine ilikuwa halali yake huyo dada kubwaga manyanga.

Hiyo ya kudate mwanamme mdogo kuliko mie, hiyo ni marfuku kama mbwa kupanda darini.
Hao akina Maria Carey wakae nao wao, huku kwetu NO.
Kwanza napenda akija nimpokee, nimwamkie na goti, ntaamkia vipi kitoto lol
hutaki kumpigia goti ki-serengeti boy. lol

Mambo yanabadilika sana sijuhi ndo kwenda na wakati au ugumu wa maisha...nakumbuka dada zangu walipoolewa hawakwenda hata na begi. Those days mdada akiolewa hata nguo zake za zamani alikuwa anagawa kwa wadogo zake...hivyo sisi madogo tulikuwa na kila sababu ya kufurahia dada kuolewa. Akifika huko mume anajaza kabati na nguo mpya.

Siku hizi mh! Sijuhi ndio uanaume suruali?, sijuhi wadada tuko desparate?, sijuhi ndio kujiandaa na kuachika,( maana kuna wenye mawazo kuwa ukiwa na kila kitu hata ukiachika una pa kuanzia)?. Kwa ufupi mi naona mwanume anaweza kuji feel mnyonge kama wakwe wanatoa kila kitu...kama ni mwanaume mwenye sifa za Kiafrika lakini Lol. Maoni yangu lakini.
Dark City, alishasema mwanaume huyu sio mwanaume, ni mvulana mkubwa tuu.

yah ther is a very big difference btw a boy and a man,a very big one!
really? how big exactly lol

Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.

Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.

Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
mwanaume anatakiwa kuwa na uwezo wa ku-support familia, ndio maana tunasema 'mwanaume ameoa' sio otherwise.

Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.

Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'
what about the reverse?
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na uwezo wako my dear, kama unajiweza no problem, kama huwezi nenda tu na nguo zako mbili tatu habari kwisha, in other words sio lazima!
 
Dena Amsi hebu kaa chini jiulize hivyo vitu vimemfikisha wapi??!!!nna imani atakua anatanga tanga tu hana mbele wala nyuma,alisahau kuwa ni mambo ya kupita tu hayo(tena kumuita taahira nimempa cheo cha kipekee,sina jina litakaloweza kumfananishia yooote unayoyajua wewe mabaya wallaih kwa kile kiumbe yatakua mazuri sanaaaa labda nimuite JINI) Sala/maombi ndio kimbilio letu......pamoja sana.

Mke mwenza leo umenichekesha mbaya sana acha tu sala na imani ndo mpango mzima (Mie huyo jini wangu kachoka mbaya mbovu kashindwa hata kulisha familia)
 
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo …yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume… au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?

haya mambo yanatawaliwa na mila. Kwetu unakwenda mikono mitupu ukiacha vyombo kidogo vya kuanzia maisha hasa vya jikoni, basi! Kwa maisha/mambo ya kisasa lolote mnaweza kuamua!
 
Kwanza kuna ndoa siku hizi nijibebeshe mivitu siku mbili kibuti mnaanza kugombania ya nini mimi nakwenda na begi langu kikinuka natimka timu kama nasafiri vile kumbe ndo nitoleee (Wasichana ambao hamjaolewa kazi kwenu)
 
Hao wanaobeba hivyo vitu vyote wameambiwa kwa wanaume kuna maduka ya reja reja?
 
Inaitwa Sharon - The Stone

ni ya zamani sijuhi 2003 lakini nimeiangalia jana nimecheka mpaka basi...sterling Geneveive.
Yeye maisha yake toka akiwa law student ni kuwa na wanaume zaidi ya watatu...anawambia wenzie don't put your eggs in one basket. Wenzie wakiwa wanalia kutendwa na ma boyfriends wao yeye anacheka anataka mpaka kulia...anasema tatizo la kuwa na mmoja hilo.

Anawapanga, mmoja alikuwa mwanafunzi, mwingine kanali wa jeshi, mwingine chief mfanya biashara, mwingine alikuwa sijuhi na kazi gani ila alimtimua baada ya kutaka kuleta control. akiwa na chief anamwambia mwanafunzi huyu ni uncle wangu na hataki niwe na boyfriend hivyo ukiniona nae kaa mbali kabisa.

Aliachwa kwenye mataa siku ya harusi; kumbe ilikuwa imepangwa kumkomesha baada ya wale wanaume kujua mchezo wake. Kamsubiri bwana harusi kwa mkuu wa wilaya hakutokea, kaamua kumfuata home kamkuta anacheza bao na wanaume zake wengine; wakaanza kumcheka; mdada kazimia.

Kaamua kuokoka...mchungaji nae baada ya kujua CV yake kaomba penzi...kwa hasira kaacha ulokole na kurudi kwenye ukicheche wake ..tena mara mbili ya mwanzo. Baada ya kuharibu sana Lagos si ndo kaamua kuhamia Abuja wasiko mjua...ndio mshkaji wake (mwenyeji wa abuja) anamwambia hapa ni upper au lower class...hakuna nafasi ya middle.

Teh teh teh i want i want i want......nidekshie basi hilo jina
 
Nadhani mila nyingi za Kiafrika mwanamke hapaswi kwenda na mali kwa mumewe...lakini these days hata haieleweki haya mambo yametokea wapi...maana hata kwenye umagharibi hakuna hivi vitu...tumejitengenezea wenyewe haka ka utamaduni.

haya mambo yanatawaliwa na mila. Kwetu unakwenda mikono mitupu ukiacha vyombo kidogo vya kuanzia maisha hasa vya jikoni, basi! Kwa maisha/mambo ya kisasa lolote mnaweza kuamua!
 
The reverse is also true.

Nikiwa na maana mtoto alosoma international school, week end anashinda funcity atakutana wapi na wa st. Kanumba regardless ya gender (she/he)

Back
Top Bottom