unknown animal
JF-Expert Member
- Jul 18, 2012
- 337
- 51
mapenzi ni ya wawili na kama mshkaji atakuwa ameridhia basi happy for them,but pia inaweza kumkosesha amani na hasa ukuzingatia mwanaume ndo anatakiwa kufanya hayo,but kama yuko happy ts oky.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.
Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.
Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
unakuta unaoa
kwa Mengi
huku wew baba mchimba makaburi
mjomba fundi koroboi ....lol
mapenzi ni ya wawili na kama mshkaji atakuwa ameridhia basi happy for them,but pia inaweza kumkosesha amani na hasa ukuzingatia mwanaume ndo anatakiwa kufanya hayo,but kama yuko happy ts oky.
Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.
Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.
Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.
Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'
wewe Upper class woman lol
ni pm hiyo movie
Mmmhhh mke mwenzangu hapo mabanoni yametukuta wengi kumbe.....lol. Ila tusiwakatishe tamaa hawa ndugu zetu maana hizo ni zawadi inabidi wazibebemo hahahaaaaaa. Mie nilikosea nikabeba vyangu nilivyoanza navyo maisha(yani niliamua kuvihamisha kutoka nyumba hii kuingia nyumba hiyo niliyoenda kujumuika na taahira wangu) nikaona nikachanganya na vyake itasaidia kumbe loooh borea ningempa mama yangu hata kama angevitupia stoo viliwe na panya ni heri......lol
Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.
Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'
Dena Amsi hebu kaa chini jiulize hivyo vitu vimemfikisha wapi??!!!nna imani atakua anatanga tanga tu hana mbele wala nyuma,alisahau kuwa ni mambo ya kupita tu hayo(tena kumuita taahira nimempa cheo cha kipekee,sina jina litakaloweza kumfananishia yooote unayoyajua wewe mabaya wallaih kwa kile kiumbe yatakua mazuri sanaaaa labda nimuite JINI) Sala/maombi ndio kimbilio letu......pamoja sana.Mke mwenza wewe ndo umenena hapo kwenye mabano nimechekaje mie nilikuachia nikajua utadumu kumbe yamekukuta ka ma yangu (Mie wangu sio taahira ni mbwa kachukua mpaka gari, laptop nk acha tu yaani)
Wale wale kwa nini hufikiri kutafuta pamoja unafikiria kushukuru.... unafikiri kwa kujaziwa nyumba ndio ugumu wa maisha utakuwa umeisha jamani ndoa ni zaidi ya makochi masufuria na mazagazaga yote.
watu wanaongea tu...wanawake tulivo ni ngumu sana mimi nitaenda na chupi tu kwa kweli
hizi post 3 zimenifanya nicheke hapa ofisiniUmeona eeh. Haya mambo watu hawaoni kuwa ni tatizo mpaka pale ndoa inapoanza migogoro...ndio utajua kama gari ni lako au walikupa wakwe. Lol.
Si kuna mtu alitimuliwa na mfuko wa rambo maana nyumba ya wife.
Afu wanawake wengi hatunaga huruma hasa mume akianza ukichehche...ni ngumu kuvumilia ushenzi wakati mtu yuko kama mkimbizi hana kitu.
hutaki kumpigia goti ki-serengeti boy. lolUmenijibu kwa ufasaha kabisa
Na hiyo ndio ilikuwa point yangu kuwa kuachana kwa sababu tu ya pesa si lazima
Kama kuna sababu zingine ilikuwa halali yake huyo dada kubwaga manyanga.
Hiyo ya kudate mwanamme mdogo kuliko mie, hiyo ni marfuku kama mbwa kupanda darini.
Hao akina Maria Carey wakae nao wao, huku kwetu NO.
Kwanza napenda akija nimpokee, nimwamkie na goti, ntaamkia vipi kitoto lol
Dark City, alishasema mwanaume huyu sio mwanaume, ni mvulana mkubwa tuu.Mambo yanabadilika sana sijuhi ndo kwenda na wakati au ugumu wa maisha...nakumbuka dada zangu walipoolewa hawakwenda hata na begi. Those days mdada akiolewa hata nguo zake za zamani alikuwa anagawa kwa wadogo zake...hivyo sisi madogo tulikuwa na kila sababu ya kufurahia dada kuolewa. Akifika huko mume anajaza kabati na nguo mpya.
Siku hizi mh! Sijuhi ndio uanaume suruali?, sijuhi wadada tuko desparate?, sijuhi ndio kujiandaa na kuachika,( maana kuna wenye mawazo kuwa ukiwa na kila kitu hata ukiachika una pa kuanzia)?. Kwa ufupi mi naona mwanume anaweza kuji feel mnyonge kama wakwe wanatoa kila kitu...kama ni mwanaume mwenye sifa za Kiafrika lakini Lol. Maoni yangu lakini.
really? how big exactly lolyah ther is a very big difference btw a boy and a man,a very big one!
mwanaume anatakiwa kuwa na uwezo wa ku-support familia, ndio maana tunasema 'mwanaume ameoa' sio otherwise.Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.
Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.
Mie hapo sikubaliani na nyie aiseee......ina maana wanawake wawe wanatafuta wanaume ambao wanauwezo zaidi yao basi!! kasheshe wallaih
what about the reverse?Hivi wewe huoni kuwa tunaelekea kwenye kuwa na matabaka??? Mi nimeshaona signs za class, lower, middle na upper...na soon tutakuwa hatuchanganyiki...usitegemee wa st Kanumba aolewe na St academy.
Nimekumbuka movie moja...mdada anamwambia mwenzie mgeni, 'here in Lagos there is no room for middle class; it's either you are upper or lower. Eti nae anajibu 'how can I be lower...I am upper of course'
Dena Amsi hebu kaa chini jiulize hivyo vitu vimemfikisha wapi??!!!nna imani atakua anatanga tanga tu hana mbele wala nyuma,alisahau kuwa ni mambo ya kupita tu hayo(tena kumuita taahira nimempa cheo cha kipekee,sina jina litakaloweza kumfananishia yooote unayoyajua wewe mabaya wallaih kwa kile kiumbe yatakua mazuri sanaaaa labda nimuite JINI) Sala/maombi ndio kimbilio letu......pamoja sana.
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
Teh teh teh i want i want i want......nidekshie basi hilo jina
haya mambo yanatawaliwa na mila. Kwetu unakwenda mikono mitupu ukiacha vyombo kidogo vya kuanzia maisha hasa vya jikoni, basi! Kwa maisha/mambo ya kisasa lolote mnaweza kuamua!
hizi post 3 zimenifanya nicheke hapa ofisini
hutaki kumpigia goti ki-serengeti boy. lol
Dark City, alishasema mwanaume huyu sio mwanaume, ni mvulana mkubwa tuu.
really? how big exactly lol
mwanaume anatakiwa kuwa na uwezo wa ku-support familia, ndio maana tunasema 'mwanaume ameoa' sio otherwise.
what about the reverse?