Pinguza malalmiko, kunyweni ujinna makande hapo avic townTimu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.
Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.
Wachezaji wakubwa wanaufahamu viwanja vya michuano ya kimataifa pia. Huhitaji kwenda Ulaya kumuandaa mchezaji acheze mechi uwanja wa manunguNa michuano ya kmataifa mtachezea matombo morogoro?
Hebu lipeni ile 200m kule uturuki acheni utapeli
Nasikua uchungu sana viwanja vyote vya watanzania kumillikiwa na taasisi ambayo haiviboreshi. Timu kongwe hazina viwanja lakiñi zinasajilli wachezaji ghali na kuwapeleka preseason sehemu ghali kwenye viwānja vya kisasa wakati ligi inachezwa kwenye viwanja vibovuMkuu umeandika kwa hisia za juu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na michuano ya kmataifa mtachezea matombo morogoro?
Hebu lipeni ile 200m kule uturuki acheni utapeli
Hoja yako ya hali ya hewa nadhani haina mashiko.Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.
Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.
uNASHINDWA kuchambua mambo kwa kina, unasema ushabiki wa timu. Lakini tanzania kama ni hali ya hewa tunazo aina zote za hali ya hewa hapahapa kuanzia ile ya joto kali, la kati na baridi kabisa. Lakini huwezi kufanya mazoezi kwenye viwanja bora kabisa barani afrika halafu ligi unakwenda kucheza kwenye viwanja vinavyojaa maji na vipara.Hoja yako ya hali ya hewa nadhani haina mashiko.
Hali ya hewa ya Dar es Salaam haiko sawa na ya Mbeya au Moshi. Hayo yote ni mazingira ya kuchezea.
Timu kubwa inayoshiriki mashindano ya kimataifa itatakiwa kucheza away pia. Hali ya hewa Dar ni tofauti na ya Port Harcourt, Casablanca, Soweto, Mogadishu, Lusaka, Gaborone, Tripoli au Khartoum. Na ni lazima uwe tayari kucheza katika hayo mazingira.
Angalia preseason za timu za Ulaya, Man Utd wamepita Thailand, Australia na wataelekea Marekani. Vivo hivyo Chelsea na Barcelona wako Marekani.
Hii hoja yako ni nyepesi mno.
Labda kidogo ungesema suala la viwanja, japokua nalo halina mashiko sana.
Upishi wa timu unafanyika katika mazingira mazuri (kujumuisha pitch nzuri). Hayo ya kufanya maandalizi kwenye viwanja vibovu nadhani tuwaachie Tanzania Prisons na wanaofanana na hao.
bado huna ulichokisema cha maana, maana hao wachezaji wako wote wanavijua viwanja vizuri; wameviona na wamevichezea lakini inawezekana kabisa kuna ambao hawajawahi kuona na kuchezea kwenye viwanja vyenye vipara, vyenye mabonde na vinavyojaa maji wakati wa mvua. Wakati wa pre-season ndio wakati halisi wa kuwaonyesha wachezaJI WENU WOTE viwanja vya aina hivyo ambavyo timu inatakiwa kuchezea na kupata points 3. kwa namna ulivyo ndezi unahisi hizo mechi kwenye viwanja vizuri ulivyovitaja zinatosha kwa timu kupata kikombe. Yaani sio muhimu kupata points kwenye viwanja vibovu.Tuje kwenye suala lako la viwanja;
Nitachukulia mfano timu ya Simba SC
Ligi ya NBC:
Ligi ina mechi 30. Kati ya hizo, mechi 15 Simba atakua nyumbani Mkapa (Uwanja Mzuri).
Kuna mechi zifuatazo za away atakua anacheza kwenye viwanja vizuri.
Dhidi ya Yanga (Mkapa)
Dhidi ya Azam (Chamazi)
Dhidi ya Kagera Sugar (Kaitaba).
Mechi 18 kati ya 30 (za ligi) ana uhakika wa kucheza kwenye pitch nzuri.
Kombe la ASFC:
Kuanzia hatua ya 64 bora hadi fainali kuna mechi 6 tu kwa kila timu. Ukichukulia kwamba nusu ya mechi hizo zitachezwa kwenye pitch mbovu, basi kuna mechi 3 za kwenye pitch nzuri na 3 za mashambani.
CAF CL/ CAF CONF CUP:
Mechi zote zinachezwa kwenye pitch nzuri.
Ukianzia hatua ya awali hadi kufika hatua ya robo fainali kuna mechi 12
Mapinduzi Cup:
Mechi zote zinachezwa kwenye uwanja mzuri. (The mighty Amaan Stadium)
Kutoka hatua za mwanzo hadi fainali ni mechi takriban 4
Majumuisho;
Kwa msimu wenye mechi takribani 52, unacheza mechi 37 (sawa na 71.15%) kwenye viwanja vizuri na mechi 15 (sawa na 28.85%) kwenye viwanja vibovu
Zitakua ni akili za kijinga sana kufanya mipango ya maandalizi ya msimu in favor of 28.85% badala ya 71.15%.
NUMBERS
Ahsante .
Ilikuwaje Senzo akafanya booking ya kambi Uturuki kama aliyajua yote hayo? mpunga umekata, Aziz Ki alikataa nusu ya ada na bado akaweka sharti la kuondoka muda wowote. Yaani ni kwamba anapewa mpunga mzima ila kuondoka ni hata kabla ya pre season!Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi. Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.
Kwanza asante sana kwa kuniita ndezi, nadhani hiyo inatosha kukupa faraja na kujazia "uzito" kwenye hoja zako.bado huna ulichokisema cha maana, maana hao wachezaji wako wote wanavijua viwanja vizuri; wameviona na wamevichezea lakini inawezekana kabisa kuna ambao hawajawahi kuona na kuchezea kwenye viwanja vyenye vipara, vyenye mabonde na vinavyojaa maji wakati wa mvua. Wakati wa pre-season ndio wakati halisi wa kuwaonyesha wachezaJI WENU WOTE viwanja vya aina hivyo ambavyo timu inatakiwa kuchezea na kupata points 3. kwa namna ulivyo ndezi unahisi hizo mechi kwenye viwanja vizuri ulivyovitaja zinatosha kwa timu kupata kikombe. Yaani sio muhimu kupata points kwenye viwanja vibovu.
Kama senzo anapeleka timu uturuki pia anakosea, huu ni muda wa timu kufanya orientation kwa wachezaji kwenye mazingira/battle field badalla ya Kwenda kula bata kwenye mazingira tofauti na mechi mama za ligi. Ulaya wanafanya hivyo lakini wao hali ya hewa na hali ya viwānja ya preseason na vya ligi zao hazitofautiani sana.Ilikuwaje Senzo akafanya booking ya kambi Uturuki kama aliyajua yote hayo? mpunga umekata, Aziz Ki alikataa nusu ya ada na bado akaweka sharti la kuondoka muda wowote. Yaani ni kwamba anapewa mpunga mzima ila kuondoka ni hata kabla ya pre season!
imepatikna mechi moja ngumu ya kujipima nguvu na red arrows ya zambia yanga day tarehe 6 inatosha kabisa wachezaji wa yanga ni profeshno na washazoeana kwa hiyo haitakuwa tatizoKama senzo anapeleka timu uturuki pia anakosea, huu ni muda wa timu kufanya orientation kwa wachezaji kwenye mazingira/battle field badalla ya Kwenda kula bata kwenye mazingira tofauti na mechi mama za ligi. Ulaya wanafanya hivyo lakini wao hali ya hewa na hali ya viwānja ya preseason na vya ligi zao hazitofautiani sana.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba wachezaji wote wamechezea viwanja kama vya mabatini, kambarage, lake, sokoine mkwakwan, ilullu na kamsamba? assumptions kama hizo ni za kindezi ndezi. Tusiige wazungu kila kitu bila kujali context na background zetu. Angekuwa mm preseason ya timu yangu ingekuwa kubaki nchini na kwenda kufanya mazoezi kwenye hali ya hewa ya viwānja tofauti nchini ili kufahamu mchezaji gani atafaa kucheza kwenye mazingira ya uwanja gani.Kwanza asante sana kwa kuniita ndezi, nadhani hiyo inatosha kukupa faraja na kujazia "uzito" kwenye hoja zako.
Pili, labda ungenisaidia, ni mchezaji gani ambaye hajui, au hajawahi kucheza kwenye viwanja vibovu na hata preseason iwe set kwenye viwanja hivyo ?
Ni hawahawa akina Okra, Moses Phiri, Aziz Ki, Lomalisa, Kambole, Morrison, Isa Ndala na Edinho ?
Au ni hawa kina Mayele, Kenny Muguna, Onyango, Bangala, Bruce Kangwa, Aucho na Pape Sakho ?
Halafu, kwahiyo kwako wewe proper preseason inatakiwa ifanyike Kwenye uwanja na Sokoine au Manungu na viwanja hivyo viwe vimemwagiwa maji mengi ili kutengeneza matope ?
Hata viongozi wa Mtibwa na Tz Prisons hawawezi kuwa wanawaza kwa viwango duni namna hii.
Kumbe safari ni ndefu sana kwa vilabu vyetu kuelekea kuwa vilabu vikubwa barani Afrika.
Sijui nikujibu nn. But lazima niheshimiu mawazo yako. However, wewe unakariri na unazoa kama dodoki kila kitu Cha wazungu bila kuchukua tahadhali ya your differences. Je, preseason ya Simba na Yanga ya msimu uliopita iliwasaidia nini kwenye mashindano ya Caf na TFF? hebu tuanzie hapo kwanza.Kupitia huu uzi inaonyesha mashabiku wa yanga ni vilaza sana swala la pre season lipo duniani team za premier league zinaenda mpaka USA halafu swala la kambi ni more psychological than being fit the aim is to change the surroundings environment being in the same environment for whole season is not mental health for players ila utopolo hawana wanachoelewa wao wanasikiliza ule msekule wao utakavyosema ndo hivyo hvyo.