Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu

Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba wachezaji wote wamechezea viwanja kama vya mabatini, kambarage, lake, sokoine mkwakwan, ilullu na kamsamba? assumptions kama hizo ni za kindezi ndezi. Tusiige wazungu kila kitu bila kujali context na background zetu. Angekuwa mm preseason ya timu yangu ingekuwa kubaki nchini na kwenda kufanya mazoezi kwenye hali ya hewa ya viwānja tofauti nchini ili kufahamu mchezaji gani atafaa kucheza kwenye mazingira ya uwanja gani.
Mazingira ya viwanja ya ligi ya Tanzania haya tofauti sana na yale ya ligi zingine nyingi za Africa (ukiacha Afrika ya Kusini na Kaskazini).
Huu sasa utakua ni ubishani wa kitoto kutaka kuaminishana kwamba Jesus Moloko, Bangala, Djuma na Aucho walihitaji preseason pale Mkwakani au Nangwanda ili waweze kucheza pale Manungu na Karume kule Musoma ?

Nadhani tukubaliane tu kwamba hiyo ni personal preference yako wewe kama Kavulata kwamba unapendelea zaidi preseason ya kwenye viwanja vibovu kuliko ile ya kwenye viwanja bora.

Uwe na Jumapili njema Mkuu.
 
Ni wakati gani gani akina Aziz Ki, kambole, Biglimana, Lomalisa, na Okrah, phili, nk wataizoea hali ya hewa, vyakula, viwanja na utamaduni wa Tanzania? Mchezaji anasajiliwa kucheza ligi kuliko international games. Yaani 80% ya mchezaji atacheza TFF game than caf games.
 
Pinguza malalmiko, kunyweni ujinna makande hapo avic town
Hii ni baada ya Simba kucheza mechi ya kirafiki na Ismailia yenye wachezaji ambao waliachwa baada ya wachezaji nguli kusafiri na timu kwenye mechi ya ligi. Yaani walicheza na ma reserves na na kutoka nao sare ya 1-1. Hiki sio kipimo safi kwa Simba inayojiandaa kucheza na Yanga na mashindano ya Caf. Ingepaswa kuwashindilia Ismailia ya hivi mabao mengi. Okrah kushinda goli moja kwenye timu dhaifu inaonyesha kuwa sio mchezaji safi kivileee
 
Kwenda pre season nje ya nchi ni uwezo wa kifedha ndugu utopox hata england Kuna team zinafanyia pre season england humo humo na Kuna zingne zimepanda chopa. Huna hela ya kusafiri utabaki hapo ulipo ndiyo Iko hivo
 
Hyaa unazani man utd kucheza na Melbourne Victory ni kipimo sahihi Cha kucheza na man city au liver?
Ujinga ni kipaji ndugu mwandishi umejariwa haswa
 
KAMA NI hivyo kwanini basi isingecheza na Ihefu au mbagara united, badala yake wanatafuta ismailia iliyo pungufu? na hiyo pungufu pia unatoka sare nayo. kama umechagua Ismailia wacha simba kamili icheze na Ismailia kamili
 
Kwenda pre season nje ya nchi ni uwezo wa kifedha ndugu utopox hata england Kuna team zinafanyia pre season england humo humo na Kuna zingne zimepanda chopa. Huna hela ya kusafiri utabaki hapo ulipo ndiyo Iko hivo
ungekuwa na hela hiyo basi Adebayor, Aziz na Manzuk wangekuwa tayari kikosini sasa hivi. Kocha alikuwa hayuko ni nani kasajili? ni nani kasema timu ipelekwe Misri, ni nani atasema mchezaji nani abaki na nani aondoke? vuluvulu jazz band.
 
Siku zote dagaa watakuwa watamu sana ,
Tena sana,
Kama huna pesa ya nyama
 
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.

Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.

Hayo ni mawazo ya kimaskini,
Watu wanaenda nje ya inchi Yao kufata utulivu na facility

Vifaa ambavyo angevipata turkey ni tofauti na hivyo vya evic town

Hata utulivu pia ni tofaut ndio maan linaitwa kipindi cha pre season

Yanga wangekuwa na muda I'm sure wangeenda inje ya inchi sema sasa muda wao umewabana sana
 
Yaani mchezaji kwenda likizo kwao na kufanya mambo yake binafsi ni bora sana kuliko kwenda pre season kwenye mwezi. Kumbuka kuwa wachezaji wetu sisi wanakaa kambini badala ya kukaa kwenye nyumba zao, hii inasababisha psychological torture kubwa kwa mchezaji na hata benchi la ufundi. Tuna wanchezaji professiional ambao hata wakiwa likizo wanapaswa kujitunza wenyewe. Nalipongeza sana bebchi la ufundi la Yanga kuchagua likizo ndefu badala ya pre-season ndefu kwa wachezaji.
 
Siku zote dagaa watakuwa watamu sana ,
Tena sana,
Kama huna pesa ya nyama
Kocha mpya kashavurugwa tayari, anatakiwa ndani ya siku 15 aamue mchezaji yupi abaki na nani aachwe. kwakuwa hawajui wachezaji hivyo hajui nani amuache kwa lipi na nani amuuondoe kwa lipi. Unajua katika siku na nyakati kama hizi kila mchezaji anajituma sana ili kumshawishi kocha mpya? Simba tayari imeshaanza vibaya. Kumbuka kwamba hajahusika na usajili wa mchezaji yeyote pale lakini unamtaka aseme nani aachwe na nani abaki. wachezaji sio kama maembe kwenye tenga kuwa utaminyaminya tu uone lipi limeiva na lipi bichi.
 
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.

Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.
Ni ulimbukeni huo
 
Mwanao kwa kuwa shule ataanzia ya government ukimpeleka tour shule za international ni kosa!! 😁😁😁
 
So Avic town kuna viwanja vinajaa maji na vyenye vipara? Au kisa mzigo umekauka.
Avic hakuna kiwanja chenye dimba lenye hadhi ya kwamkapa, Azam au Kaitaba. Wakiwa Dar wanaweza kwenda hata Arusha na Mwanza wakitaka. Lofa mmoja akasema eti kwenye kambi ya misri kuna vifaa bora vya mazoezi, kwahiyo hivyo vifaa watarudi navyo bunju au wataviacha hukohuko? pre-season kwa wenzetu huko ulaya ni wakati wa kutibu psychological issues za wachezaji badala ya kufuata vifaa bora na kuweka timu fiti kama ndezi wanavyosema. Nilishasemaga humu kwamba tusiwe tunaigaiga matukio bali tuchambue tuo kipi kinafaa kwetu na kipi hakifai kwetu kutokana na mazingira yetu (utamaduni, makuzi, tabia zetu, viwanja, malipo, uchumi, nk). Haiwezekani ukose hela ya kumlipa Morrison abaki kwenye timu lakini uwe na hela ya kuweka kambi isiyokuwa na tija nje ya nchi.
 
Mwanao kwa kuwa shule ataanzia ya government ukimpeleka tour shule za international ni kosa!! 😁😁😁
ungewauliza wachezaji wachague kati ya kwenda pre season hapo Misri na kwenda likizo kwa wazazi wao nina uhakika wangechagua kwenda likizo kwao. Labda kidoooogo ungewapeleka Japan, Uingereza, Brazil au kwenye kambi ya Bayern Munich
 
Ungewauliza wachezaji wakafanyie wapi pre season kati ya morogoro au kuwaona malaya wa mjini wangechagua kuwaona malaya wa mjini. Angalau pre season mngewapeleka kwa vipers, gormahia, sc villa kulko morogoro.
 
Avic hakuna kiwanja chenye dimba lenye hadhi ya kwamkapa, Azam au Kaitaba. Wakiwa Dar wanaweza kwenda hata Arusha na Mwanza wakitaka. Lofa mmoja akasema eti kwenye kambi ya misri kuna vifaa bora vya mazoezi, kwahiyo hivyo vifaa watarudi navyo bunju au wataviacha hukohuko? pre-season kwa wenzetu huko ulaya ni wakati wa kutibu psychological issues za wachezaji badala ya kufuata vifaa bora na kuweka timu fiti kama ndezi wanavyosema. Nilishasemaga humu kwamba tusiwe tunaigaiga matukio bali tuchambue tuo kipi kinafaa kwetu na kipi hakifai kwetu kutokana na mazingira yetu (utamaduni, makuzi, tabia zetu, viwanja, malipo, uchumi, nk). Haiwezekani ukose hela ya kumlipa Morrison abaki kwenye timu lakini uwe na hela ya kuweka kambi isiyokuwa na tija nje ya nchi.

So ile booking ya Yanga Uturuki ilikua ya nini.
 
Back
Top Bottom