hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Huyo ni kiongozi mlevi sana na walevi wengine TU. Muda huu ni muda wa wachezaji wageni kuizoea Tanzania na mitaa yake, vyakula vyake, na taratibu zake kabla ya ligi kuanza. Kwani Misri Kuna nn Cha mno? Wachezaji si wanakaa kambini TU huko Misri au wanazirura mitaani?
Hao wageni wako wangapi?
Hao wageni wametoka ulaya?
Mtu ametoka zambia, Ghana unamtaka azoee mazingira?
I think unabishana Tu bcoz unataka kubishana Ila unaujua ukweli na faina ya or season
Timu zote kubwa za tanzania zilipanga kwenda nje ya inchi, tena yanga walitaka kwenda ulaya kabisa
Mfuko wao umewabana ndio maana wamebaki kigamboni