Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu


Hao wageni wako wangapi?
Hao wageni wametoka ulaya?

Mtu ametoka zambia, Ghana unamtaka azoee mazingira?

I think unabishana Tu bcoz unataka kubishana Ila unaujua ukweli na faina ya or season

Timu zote kubwa za tanzania zilipanga kwenda nje ya inchi, tena yanga walitaka kwenda ulaya kabisa


Mfuko wao umewabana ndio maana wamebaki kigamboni
 
Baada ya ujio wa Aziz Ki hakuna anayehoji kuhusu preseason camp, vijana wapya Wana aclamitize to the tanzanian settings and standards.
 
Malengo yetu ni CAF na sio kikombe cha ndoo ya bati.
 
Baada ya ujio wa Aziz Ki hakuna anayehoji kuhusu preseason camp, vijana wapya Wana aclamitize to the tanzanian settings and standards.

Hata sappong na yikpe mlisema hivi hivi

Tena yikpe mlisema ni Pacha na Drogba

Ikawaje?
 
Utajua tu tofauti na ukilaza wa uto, wenzako wanawaza na kulenga kimataifa nyie mnawaza viwanja vya Manungu ili kupata NBC ufungaji bora wa mabao ya kupewa. P.O.Sakho
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Rivers united wanaenda kuweka kambi Miami kwa mara ingine.
 
Niliwaammbia Mimi ona nilichokuwa nakisema kimetimia, kambi ya Misri sio kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…