Kwenu Viongozi wa Umoja Party

Nasikia leo kuna mtu katekwa tayari..
UTEKAJI utaanza tena upya🙄
 
Na hii nayo watamlaumu JPM au mama anaupiga mwingi sasa?
 
Wazo kuu la Magufuli hakuamini katoka vyama vingine tofauti na CCM
 
Mbona huwasisitizii kuendeleza uharamia wa marehemu wa kuteka, kutesa, kuwapoteza na kuwabambikia kesi wale wote watakaowakosoa.
Yaani kama maharamia wa kizhungu na waarabu? au?
Kwa watu wengi wenye kuthamini utu wa mwanadamu, neno Magufuli ni dhihaka dhidi ya ubinadamu. Waende na jina hilo hilo kila mahali, watayapata majibu.
Tatizo nyie Kaburu gang mnafikiri nyie ndie wanadamu, kumbe nyie ni Wanyonya-damu, wazandiki, wanauhasama hasi, wa kuteka na wabambakiazi wa kesi kibao duniani.
 
Wahuni tu hamna Cha maana ,
 

Tiss na ccm bado wanaamini wananchi ni mazombie wa kuwatengenezea vyama vya mchongo ili kuipa backup ccm?! Hiki chama kilianzishwa kipindi cha Magufuli, ila kikachelewa kuanza, na kitakuwa kinafanya siasa kwa miongozo ya Ccm. Kwa bahati mbaya wananchi wanajua wakitakacho sio hivyo vyama vya michango.
 
Mnamaanisha CDM kwishney?!!!!!!!!!!! Well, that's good to hear!

Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm lakini yameshindwa kutimia, mpaka dhalimu ikabidi atumie mabavu ya wazi, na uporaji wa uchaguzi ili kuiua cdm. Mkitaka kujua wananchi wanajitambua, hii ccm academia ianze muone kama itavutia watu. Ccm ilifanikiwa kupandikiza vyama mamluki watu wakiwa wamelala, ila sio Sasa.
 
Yaani mie ni kiongozi chama ngazi ya mkoa na taifa,tumechoka na huu ushenzi wa ccm chadema Act,

Mmeichoka ccm Wakati ndio imewaanzisha, au unadhani tutapotea maboya kirahisi hivyo? Hii mbinu ya kuanzisha chama na kuja na gia hizo ccm ilifanikiwa zamani, kwa sasa tunawachora tu.
 
Kiongozi shupavu anapimwa wakati wa dhiki na mashaka. Uwezo wa kusimamisha chama wakati huu mgumu ni mtihani wa kwanza mgumu na muhimu tuwe mashuhuda

Kuna ugumu gani sasa wakati watu hawatekwi? Isitoshe hilo tawi jipya la ccm litapata ugumu gani kusimama?
 
Mungu ibaliki umoja party mpaka ifike tunapotaka.
 
Mpumbavu ni huyo kichaa wenu mnayemuabudu, aliyedhani kuongoza nchi ni manguvu ya kuua na kuteka, aliyedharau Covid ikamuondoa pamoja na washirika wake
 
Kamanda mbona muoga na mchambaji hivyo?!!!! We ni kamanda au mtu uliyekimbia mafunzo ya jkt wiki moja ya Kwanza Tu?!! Hv CDM ipi iliyo hai Kwa sasa?!!!! Hilo moja, pili ni CDM ipi ya kuistua ccm Kwa sasa?!!! Hii ya kina mnyika?!!!!!!
 
Nimecheka, kwani Magufuli aliwahi kutegemea kura?
Ndugu kwani wewe hofu yako ni ipi ilihali unasema UP haina madhara yeyote kwa chama chenu?
 

Alikuwa na kipaji cha uongo, na mwingi wa jazba pindi anachoamini kikikosolewa.
 
Kamanda mbona muoga na mchambaji hivyo?!!!! We ni kamanda au mtu uliyekimbia mafunzo ya jkt wiki moja ya Kwanza Tu?!! Hv CDM ipi iliyo hai Kwa sasa?!!!! Hilo moja, pili ni CDM ipi ya kuistua ccm Kwa sasa?!!! Hii ya kina mnyika?!!!!!!

Hakuna kitu kinaitwa ccm kwa sasa, bali kuna vyombo vya dola vilivyovyaa koti la chama cha siasa. Cdm sio cha cha kijeshi ndio maana hakiwezi kupambana na vyombo vya dola. Ishauri ccm ijitoe kwenye mbawa za vyombo vya dola ije tuifurajishe kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…