Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia leo kuna mtu katekwa tayari..Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana.
Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua mnayoiendea kwa maana dhamana na imani ya watanzania inakwenda kuwekwa juu yenu. Ni ombi langu kwenu kuwa na dhamiri ile ile ya upendo kwa Tanzania na watu wake huku mkijibidiisha kwa kila namna kuhakikisha Tanzania inapata viongozi wenye kiu na dhamira ya kweli kufikia maono makubwa ya kipenzi chetu Magufuli.
Ni vizuri kufahamu ya kuwa Tanzania ya sasa haina upungufu wa vyama vya siasa au sera nzuri za uendeshaji wa nchi. Hivyo ni budi kwenu kuyasoma na kuyapatia ufumbuzi yote ambayo ni maidhafu ya vyama vya siasa vilivyopo sasa ambavyo vimeshindwa kuonesha dira ya kweli ya Taifa letu kwa miaka 50 hadi 100 ijayo. Magufuli aliipenda Tanzania na kuchukizwa kabisa kwa maneno na vitendo na hali mbaya ya umaskini, ufisadi na dharau ya watawala/mabwenyenye waliojimilikisha nchi dhidi ya tabaka kubwa la watanzania wanyonge.
Ni ombi langu kwenu kutanguliza uzalendo na elimu ya kisiasa kwa watanzania wote wapate kufahamu dira, muelekeo na falsafa za chama. Katika hatua hizi za mwanzo ni muhimu sana kuhakikisha mnatengeneza misingi imara ya kitaasisi kwanza kwa kuhubiri na tena kuonesha kwa vitendo ili watanzania wayaamini hayo mnayapeleka kwao. Pasiwepo na hila midomoni mwenu tena Amani, Upendo,Haki na Mshikamano visipungue katika majukwaa yenu. Njoo na majibu ya namna ambavyo Tanzania itaweza kuendelea kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ni muhimu sana kuzisema changamoto zote na kuueleza uma watanzania ni kwa njia gani tutafikia maendeleo ya kweli. Watafuteni wazee wazalendo wawapatie hekima zao, wapongezeni wanaostahili pongezi, wakemeeni wanastahili makaripio.
Karibuni kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, karibuni kwenye figisu za CCM, karibuni kwenye hila za CHADEMA, karibuni kwenye kichaka cha wahuni na watakatishaji wa udhalimu.
Umoja ni nguvu, Umoja ni Ushindi, Umoja ni Maendeleo.
Na hii nayo watamlaumu JPM au mama anaupiga mwingi sasa?Nasikia leo kuna mtu katekwa tayari..
UTEKAJI utaanza tena upya🙄
Tetesi: - Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii. ---- Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari...www.jamiiforums.com
Wazo kuu la Magufuli hakuamini katoka vyama vingine tofauti na CCMNdugu,
Ukiamua kuwa huru na mawazo yako utamuona Magufuli katika picha nyingi sana. Kimoja ambacho wote tunakubaliana ni kuwa Magufuli alikua mzalendo na mwenye upendo wa dhati kwa Tanzania. Alihubiri Tanzania yenye maendeleo na aliamini katika watanzania hivyo alipandikiza mbegu ya ujasiri na uzalendo kwetu wote. Sisi tuliobaki tumejifunza mengi na tunaanzia hapo kuhakikisha kweli tunaisimamisha Tanzania ya mfano na mkombozi wa bara la Africa
Hatupoi..Umoja party, walipo tupo!!
Huku ndio kuzikwa pembeni mwa JPM, zitto aipate hii
Waliopiginia uhuru na kupinga ukoloni wangekuwa na mawazo kama yako tungekuwa badoMtaeneza vipi Chama chenu wakati hakuna mikutano?
Yaani kama maharamia wa kizhungu na waarabu? au?Mbona huwasisitizii kuendeleza uharamia wa marehemu wa kuteka, kutesa, kuwapoteza na kuwabambikia kesi wale wote watakaowakosoa.
Tatizo nyie Kaburu gang mnafikiri nyie ndie wanadamu, kumbe nyie ni Wanyonya-damu, wazandiki, wanauhasama hasi, wa kuteka na wabambakiazi wa kesi kibao duniani.Kwa watu wengi wenye kuthamini utu wa mwanadamu, neno Magufuli ni dhihaka dhidi ya ubinadamu. Waende na jina hilo hilo kila mahali, watayapata majibu.
Wahuni tu hamna Cha maana ,Mbona huwasisitizii kuendeleza uharamia wa marehemu wa kuteka, kutesa, kuwapoteza na kuwabambikia kesi wale wote watakaowakosoa.
Kwa watu wengi wenye kuthamini utu wa mwanadamu, neno Magufuli ni dhihaka dhidi ya ubinadamu. Waende na jina hilo hilo kila mahali, watayapata majibu.
Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana.
Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua mnayoiendea kwa maana dhamana na imani ya watanzania inakwenda kuwekwa juu yenu. Ni ombi langu kwenu kuwa na dhamiri ile ile ya upendo kwa Tanzania na watu wake huku mkijibidiisha kwa kila namna kuhakikisha Tanzania inapata viongozi wenye kiu na dhamira ya kweli kufikia maono makubwa ya kipenzi chetu Magufuli.
Ni vizuri kufahamu ya kuwa Tanzania ya sasa haina upungufu wa vyama vya siasa au sera nzuri za uendeshaji wa nchi. Hivyo ni budi kwenu kuyasoma na kuyapatia ufumbuzi yote ambayo ni maidhafu ya vyama vya siasa vilivyopo sasa ambavyo vimeshindwa kuonesha dira ya kweli ya Taifa letu kwa miaka 50 hadi 100 ijayo. Magufuli aliipenda Tanzania na kuchukizwa kabisa kwa maneno na vitendo na hali mbaya ya umaskini, ufisadi na dharau ya watawala/mabwenyenye waliojimilikisha nchi dhidi ya tabaka kubwa la watanzania wanyonge.
Ni ombi langu kwenu kutanguliza uzalendo na elimu ya kisiasa kwa watanzania wote wapate kufahamu dira, muelekeo na falsafa za chama. Katika hatua hizi za mwanzo ni muhimu sana kuhakikisha mnatengeneza misingi imara ya kitaasisi kwanza kwa kuhubiri na tena kuonesha kwa vitendo ili watanzania wayaamini hayo mnayapeleka kwao. Pasiwepo na hila midomoni mwenu tena Amani, Upendo,Haki na Mshikamano visipungue katika majukwaa yenu. Njoo na majibu ya namna ambavyo Tanzania itaweza kuendelea kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ni muhimu sana kuzisema changamoto zote na kuueleza uma watanzania ni kwa njia gani tutafikia maendeleo ya kweli. Watafuteni wazee wazalendo wawapatie hekima zao, wapongezeni wanaostahili pongezi, wakemeeni wanastahili makaripio.
Karibuni kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, karibuni kwenye figisu za CCM, karibuni kwenye hila za CHADEMA, karibuni kwenye kichaka cha wahuni na watakatishaji wa udhalimu.
Umoja ni nguvu, Umoja ni Ushindi, Umoja ni Maendeleo.
Mnamaanisha CDM kwishney?!!!!!!!!!!! Well, that's good to hear!
Yaani mie ni kiongozi chama ngazi ya mkoa na taifa,tumechoka na huu ushenzi wa ccm chadema Act,
Kiongozi shupavu anapimwa wakati wa dhiki na mashaka. Uwezo wa kusimamisha chama wakati huu mgumu ni mtihani wa kwanza mgumu na muhimu tuwe mashuhuda
Mungu ibaliki umoja party mpaka ifike tunapotaka.Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana.
Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua mnayoiendea kwa maana dhamana na imani ya watanzania inakwenda kuwekwa juu yenu. Ni ombi langu kwenu kuwa na dhamiri ile ile ya upendo kwa Tanzania na watu wake huku mkijibidiisha kwa kila namna kuhakikisha Tanzania inapata viongozi wenye kiu na dhamira ya kweli kufikia maono makubwa ya kipenzi chetu Magufuli.
Ni vizuri kufahamu ya kuwa Tanzania ya sasa haina upungufu wa vyama vya siasa au sera nzuri za uendeshaji wa nchi. Hivyo ni budi kwenu kuyasoma na kuyapatia ufumbuzi yote ambayo ni maidhafu ya vyama vya siasa vilivyopo sasa ambavyo vimeshindwa kuonesha dira ya kweli ya Taifa letu kwa miaka 50 hadi 100 ijayo. Magufuli aliipenda Tanzania na kuchukizwa kabisa kwa maneno na vitendo na hali mbaya ya umaskini, ufisadi na dharau ya watawala/mabwenyenye waliojimilikisha nchi dhidi ya tabaka kubwa la watanzania wanyonge.
Ni ombi langu kwenu kutanguliza uzalendo na elimu ya kisiasa kwa watanzania wote wapate kufahamu dira, muelekeo na falsafa za chama. Katika hatua hizi za mwanzo ni muhimu sana kuhakikisha mnatengeneza misingi imara ya kitaasisi kwanza kwa kuhubiri na tena kuonesha kwa vitendo ili watanzania wayaamini hayo mnayapeleka kwao. Pasiwepo na hila midomoni mwenu tena Amani, Upendo,Haki na Mshikamano visipungue katika majukwaa yenu. Njoo na majibu ya namna ambavyo Tanzania itaweza kuendelea kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ni muhimu sana kuzisema changamoto zote na kuueleza uma watanzania ni kwa njia gani tutafikia maendeleo ya kweli. Watafuteni wazee wazalendo wawapatie hekima zao, wapongezeni wanaostahili pongezi, wakemeeni wanastahili makaripio.
Karibuni kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, karibuni kwenye figisu za CCM, karibuni kwenye hila za CHADEMA, karibuni kwenye kichaka cha wahuni na watakatishaji wa udhalimu.
Umoja ni nguvu, Umoja ni Ushindi, Umoja ni Maendeleo.
Mpumbavu ni huyo kichaa wenu mnayemuabudu, aliyedhani kuongoza nchi ni manguvu ya kuua na kuteka, aliyedharau Covid ikamuondoa pamoja na washirika wakeNdio maana akamteua Anna Mgwira kuwa mkuu wa mkoa...
Pamoja na wote waliounga juhudi walio ona mwanga.
Hakuwa na hiyana kwa wajing na wapumbavu kama wewe aliwapa makavu
kwa kuwa ni wapumbavu mlimchukia, welevu waliuona mwanga wakabadili njia zao.
Mwambie ukweli mpumbavu atakuchukia, lakini mwerevu atakuheshimu.
Watu nchi nzima watazikwa chato myoyoni mwaoUmoja party, walipo tupo!!
Huku ndio kuzikwa pembeni mwa JPM, zitto aipate hii
Umma Party Kama ntapigania mazuri ya JPM hakika kura yangu halali yenu
Kamanda mbona muoga na mchambaji hivyo?!!!! We ni kamanda au mtu uliyekimbia mafunzo ya jkt wiki moja ya Kwanza Tu?!! Hv CDM ipi iliyo hai Kwa sasa?!!!! Hilo moja, pili ni CDM ipi ya kuistua ccm Kwa sasa?!!! Hii ya kina mnyika?!!!!!!Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm lakini yameshindwa kutimia, mpaka dhalimu ikabidi atumie mabavu ya wazi, na uporaji wa uchaguzi ili kuiua cdm. Mkitaka kujua wananchi wanajitambua, hii ccm academia ianze muone kama itavutia watu. Ccm ilifanikiwa kupandikiza vyama mamluki watu wakiwa wamelala, ila sio Sasa.
Ndugu,
Ukiamua kuwa huru na mawazo yako utamuona Magufuli katika picha nyingi sana. Kimoja ambacho wote tunakubaliana ni kuwa Magufuli alikua mzalendo na mwenye upendo wa dhati kwa Tanzania. Alihubiri Tanzania yenye maendeleo na aliamini katika watanzania hivyo alipandikiza mbegu ya ujasiri na uzalendo kwetu wote. Sisi tuliobaki tumejifunza mengi na tunaanzia hapo kuhakikisha kweli tunaisimamisha Tanzania ya mfano na mkombozi wa bara la Africa
Kamanda mbona muoga na mchambaji hivyo?!!!! We ni kamanda au mtu uliyekimbia mafunzo ya jkt wiki moja ya Kwanza Tu?!! Hv CDM ipi iliyo hai Kwa sasa?!!!! Hilo moja, pili ni CDM ipi ya kuistua ccm Kwa sasa?!!! Hii ya kina mnyika?!!!!!!