Naam mkuu,kuna mmoja alikuwa anapata mimba zinachomoka ndani ya mwezi kwa miaka mitano..siku ilipo jibu alifurahi mnooKuna wakati unakutana na mtu, amehangaika na kizazi kakosa mtoto. ANawaza afanyeje ili naye apate mtoto. Ukimpa mimba wa hivi wala hasumbui
Kaka DR BILGERT mbona humalizii?? Kwahiyo ulimtia mimba?Naam mkuu,kuna mmoja alikuwa anapata mimba zinachomoka ndani ya mwezi kwa miaka mitano..siku ilipo jibu alifurahi mnoo
Kama mama.yake amefariki ni sawa aje. Sio roho mbaya bali ni nature tu ipo hivyo. Atakayempenda mwanao kiukweli ni mama yake tu..sie wengine tunaweza kumpenda lakini sio kivile. Mara nyingi ni kwa kujilazimisha mtambue hilo.😂😂🤣 sasa hiyo ni roho mbaya Demi, vipi kama mama yake alishatangulia mbele za haki je? Maana kuna wanawake wengine huwakuta watoto baada ya mama yao kufariki.
Ndo hivyo. Huwa wanawaheshimu waliowapa hiyo mimba hatari. Hawasumbui hata kidogo. Halafu kuna wale wanaambiwaga, solution ya tatizo lako ni kuzaa..!! Huyo weka masherti yoooteeee, lazima ategesheHahah
HaswaaaWanawake waache kuzaa na waume za watu
Naam kaka,,nilipewa pongezi kama zote.,japo nami ya kwangu ilichomoka moja,,ya pili ikanasa mazima 😁Kaka DR BILGERT mbona humalizii?? Kwahiyo ulimtia mimba?
......tatizo linaanza lami ikishakaa muda mrefu inaanza kudevelope tabia za molamu, vumbi mwishowe tope ......kimsingi limchepuko unaanza nalo vizuri mnawekeana terms and conditions na linasaini vizuri tu, likikuzoea tu linabadili gia angani, ukitaka kulikabili tu linakuonesha cheti cha mimba tayari .........na ukisema uguse tumbo utaonalitoto tumboni linachezesha mguu kwa sifa......KUna aina tatu za michepuko;
1. Mchepuko vumbi
2. Mchepuko molamu
3. Mchepuko lami.
Huyo uliyemtaja hapo juu ni mchepuko vumbi. Tafuta mchepuko wenye lami
Usisahau nimesema mke mwenza na si mchepuko..!!Wake wenza Wapendane ili iweje? Kwa manufaa ya nani?
Wewe utampenda mchepuko wa mke wako?. Basi sawaaa mi.siwezi
Sahihi kabisa mkuu..Sipati picha alivyolea mimba kwa raha
Hilo linatambulika lakin imekua too much mnawafanyia mpaka waliofiwa na mama zao, sio haki hata kama upendo hauwezi kulingana na mama mzazi kuna mambo sio vizuri kumfanyia mtoto wa mwanamke mwenzio.Kama mama.yake amefariki ni sawa aje. Sio roho mbaya bali ni nature tu ipo hivyo. Atakayempenda mwanao kiukweli ni mama yake tu..sie wengine tunaweza kumpenda lakini sio kivile. Mara nyingi ni kwa kujilazimisha mtambue hilo.
Mkuu hili kinadhalia ni rahisi ila ukweli siyo rahisi.Wanawake waache kuzaa na waume za watu
Mimi sio muislam kwahiyo siutambui uke wenza.. atakae zaa na mume wangu ni malaya lama malaya wengine.Usisahau nimesema mke mwenza na si mchepuko..!!
Kwani hiyo nature haiwezi kuwa ndiyo roho mbaya?Kama mama.yake amefariki ni sawa aje. Sio roho mbaya bali ni nature tu ipo hivyo. Atakayempenda mwanao kiukweli ni mama yake tu..sie wengine tunaweza kumpenda lakini sio kivile. Mara nyingi ni kwa kujilazimisha mtambue hilo.
.....kama ni dhati ya moyo wako Mungu yu pamoja na wewe na kizazi chako kitabarikiwa......Kwangu inanipa shida kuwa na watoto nje ya ndoa yangu, najiuliza hawa watoto wataishi vipi! Namuomba sana Mwenyezi Mungu aweke rehema zake watoto wangu wasijekujuta kuzaliwa.