Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
wanakosa wengi tuu utaweza chukua mdada kumbe ni damage goods mwishoe badala ya kuona furaha kwenye ndoa yako mnaanza mifarakano na mengine na hii yote ni kutokana na haraka zetu katika mambo siku hizi wakina dada wengi ni damaged goods sio nasema vibaya ila ukikutana na mdada kama huyo ni very complex kuliko hata formula ya kurusha rocket kwenda mwezini
Mnakompliketi sanaUtani uache ww ambaye unafikiri wanaume swala LA kuoa tunalichukulia simple km nyie mnavyo tamani harusi badala ya ndoa...
From profile picture to proper future
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakwambia nna urafiki nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakwambia nna urafiki nae
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwanaume mzima ushindwe kuona mwanamke yupi anafaa kuwa mkeo? Mnachagua sana ila mkumbuke nobody's perfect. Kingine acha mambo ya kuwaita watoto wa wenzio demaged goods, kwa kauli kama hizi huwezi kupata mwanamke descent utaishia kudate wadangaji tuwanakosa wengi tuu utaweza chukua mdada kumbe ni damage goods mwishoe badala ya kuona furaha kwenye ndoa yako mnaanza mifarakano na mengine na hii yote ni kutokana na haraka zetu katika mambo siku hizi wakina dada wengi ni damaged goods sio nasema vibaya ila ukikutana na mdada kama huyo ni very complex kuliko hata formula ya kurusha rocket kwenda mwezini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,huu Mtihani mgumu sana...........Shukuru hujaumbwa mwanaume,vijana wanateseka sana hasa karne hii ktk hii issue ya kutafuta mwanamke sahihi na kwa muda sahihi.
Pana shida kubwa sana sekta hii.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Uko sio kununa, kuuchuna mpaka ke anaomba poWalio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maono ndiyo yatakayokufanya uwe tajiri au maskini
Kumbuka hapo nimeandika upande mmoja wa wanawake brotherMwanaume hawezi Kosa Mtu wakuoa, hii Mindset Kwamba Wanawake ndiyo Wanaamua ndoa, Wanawake inafaa waifute Kama Wanataka Kuolewa otherwise Wataishia Kwa Waganga Kutafuta ndoano sio ndoa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbukeni sijaongelea upande wa mwanaume dearHata mimi nafahamu hivyo, suala la ndoa liko mikononi mwa mwanaume kwa asilimia kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
men must have a dream and a women always follows a men who wants something in his life,
always in any relationship women start to look in small issues always matter to them if we can't do better in those small issues he knows that you can't take care of her,
she should feel that is protected but the question lies how can you make a women feel that she's protected??
Sent using Jamii Forums mobile app
if you learn to be a men you'll conquer a women heart but you can't be a boy while at the same time you want a women.
Sent using Jamii Forums mobile app
A man