Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

Simulizi nzuri, sana.


MUNGU awabiriki katikq maisha yenu ya ndoa.
 
Nice story
Ila hapo pa kujimaliza sasa 😅😅😅
 
Inataka moyo kushinda huo mtihani hasa uwe na mtu anaekupenda na kukuelewa nafikiria mapito ya shida na maradhi Kuna kipind nilipitia huyohuyo ndo alisimama na mm
Kumtenga kisa dini najiona katili sana
Mungu anisaidie
Dini hizi hizi zilizoletwa na wakoloni karne ya 19?
 

Hizi ni dalili za kwanza kua huyu mtu ni mswahili.

Mwanaume unae jitambua, niku muignore mapema, ndo hao wanajibebesha mimba bila ridhaa wala mipango na Me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…