Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

Wapi nimesema napiga punyeto?
Sio lazma wewe uwe unapiga nyeto, ila nawaza tu, kwa mwanamke mwenye muonekano hata wa wastani tu anakuwa ana sex options nyingi, wanaume wote hawa waliojaa mtaani, mtandaoni mdada ukipost picha fb, insta wanaume watakuja dm, huku jf nako ukiwa na Id ya kike wanaume tele huko dm, inakuaje mdada anaishia kula nyeto 🤔 ephen_
 
We hebu niache kwanza nilie kwa kumuonea wivu huyu mwanamke mwenzangu
🎤 Hakuna sikuachi...
Namshukuru yule chinga alisema bro pama mali hili linaondoa aibu ..
Ukimaliza kulia ukije nikupe zawadi yako kabla haijayeyukaa ila usinivalie mpama wako 😂😂😂
 
Back
Top Bottom