Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #101
mkuu, maisha ndio haya haya kama circle fulani hivi, ukitendwa samehe chia moyo songa mbele, akija mwengine mpe nafas ona ana impact gan ataleta kwako akishindwa mwache aende usieke kinyongo usimchukie mtu bora ukafanya mmbo yanayokupa furaha, mimi nilikua napenda sana outing za weekend na relax sometimes natoka na bestie sometimes alone sometimes na stranger tulikutana naye on the mean time sijali hata kuhusu kipi ninepitia naamini kuna namna nilitakiwa kupitia hayo nijifunze jamboKama unaweza kumpenda mtu bila sababu basi unaweza kumchukia bila sababu.
Chuki ndo chanzo cha migogoro. Hapo kuna mmoja kafanya juhudi ya kesho yenu. Mwingine anafanya juhudi ya jana yenu.