Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

🎀 Hakuna sikuachi...
Namshukuru yule chinga alisema bro pama mali hili linaondoa aibu ..
Ukimaliza kulia ukije nikupe zawadi yako kabla haijayeyukaa ila usinivalie mpama wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
we kijana una uhakika hujalewa πŸ™„πŸ™„
 
Safi vizuri Mama mwana

Lakin ulikosea sana kumwambia uliyopitia huko nyuma ya kunyanduana,sjui ulikuwa na lengo gani
 
nikaanza kuvuta picha jinsi tulivyokutana had tulipofikia nilijikuta nalia sana, nililia halaf leo ananipigia anasema et kirahisi tu mume ni mm mumeo nikasema huyu sio mzima ana wazimu unamsumbua, sjui nilala saa ngapi kuja kushtuka kunekucha nikawasha sim nikaichaji nikahisi ile ilikuandoto tu nikapotezea mchana sasa naona msg inaingia umeshindaje nina uhakika uko sehem flan nineingia asbh naomba tuonane nikajisemea kumbe haikua ndoto ni kweli tukakutana sehem ambayo alinitongoza na kunimwagia nondo kwa mara ya kwanza jaman nililia kama nimefiwa na mzazi, nililia kusema siwez machozi yananitoka alikuja na washkaj zake na mdogo wake wakiume hata siwanon namuona yeye tu mm nalia ananibembeleza ananikumbatia amebadilika akaniambia tusogee pembeni akauliza unaendeleaje? nikamjibu namuangalia simmalizi namuuliza leo hii kwa nn ukanifanyia vile unajua nimepitia nn mm? unajua mambo yanayoendelea? ananikumbatia yan nikiwa naonhea nakabwa na hasira machozi kusema siwez ananikumbatia napata amana natulia mwisho akasema kesho tukutane sehem ni beach tupate lunch tutaongea nimerudi na nimerudi rasmi kwa ajili yako narudi kwetu nawaza kikuche tuongee sjamalizana naye, usiku wa deni haukawii kukakucha tukakutana kuanzia saa saba had saa kumi ni kula kuongea ananambia umenenepa sana lakini hapo tulizika rasmi tofuauti zetu tulifungua tena ukurasa mpya wa mapenzi akanielezea anasema wewe unajua ungeweza kunipotezea mm nilikua huwez kufanya hivo na nilikua nahngaika pamoja kwamba hatukua na mawasiliano mazuri lakini sikuacha kukutafuta had kwa watu wako wa karibu ndugu zako,naomba sana Mungu nikukute hujaolewa tu, hapo nikamwambia sasa ungefanya nn kama ungenikuta nimeolewa, akasema ningekutorosha, tukacheka,najua upo upo usijali nimerudi na wakat huu siondoki tena nataka nikuoe sasa ukirudi nyumbani ongea na mama yako mgusie utanijibu niko serious, nawaza mambo mengi sasa huyu mbona anapeleka mambo mbiombio hapo ni 2018 kwwnye oktoba hivi mimi najikaza hasa namwita mama namwambia nimepata mchumba anataka kunioa ameniambia nikuambie ajue hatua anazotakiwa kupita anioe, mama yangu alikua amelala kwenye sofa aliamka akakaa vizur habari imuingie, nikashusha pumzi nikamweleza tena akasema ngoja nitamwambia kwanza baba yako ni nani anaishi wapi ni kabila gani, sjui nilipata wapi ujasiri nikamjibu haijalishi kuhusu kabila wala yeye ni mtu wa wapi mama hayo hayana maana mimi huyu ndio chaguo langu, mama yangu akaniangalia hakujibu kitu na kitu kingine mm na mama yangu hatuivi sana muda mwingi kila mtu na mambo yake saa zingine anaweza mkaamka mtu kakununia bas kipindi niko na huyo shemeji yenu alikua ananipa sana amani ananituliza na natulia, nikaona huyu mama anataka kunipeperushia njiwa niliyemfuga mwenyewe kwa muda mrefu ,skupata jibu direct lakini nikamwambia nineshamwambia mama kasema ataongea na baba, siku zinakatika sijibiwi baba kasema nn mimi tena nishamsevu mchumba jina jipya akipiga niko huru kabisa kuongea sijifichi tena, sasa baba yangu alikua anaumwa na nakumbuka sikujua kama ni serious sana alikwenda kupata matibabu zaidi, kumbe hizo habar hata mama sjui kama alisema au la lakini mzee wangu akafariki, tukazka na ikatokea kama coincidence baba yangu mkwe n baba yangu wana unasaba so alikuja kuzikwa ilibidi mzee aletwe alipotaka kumalizia uzee wake tukazika, maish sasa yakabadilika tuna mama tena hana bazi tunamtegemea yeye kwa kils kitu sasa kaz at least nna mtu ambaye ananisupport ilibidi tu wazee wake waje wapose tukafuata taratibu bi mkubwa akaniozesha hiyo ilikua dec 2018 had leo tupo pamoja tumevuka vingi nimefupisha story mana visa n vingi hapo katikati, lakini iko hivi mwanaume anakwambia mimi ndio najua kwa nn nakuoa na kwa nn nimekubali kuanzisha familia n ww kaa tulee watoto tuzikane maisha ndio haya haya, nilijiambia pia huyu ndio mtu abaye nilitaman aje awe mwanaume wa maisha yangu, hakuna kigeni nisichokijua chini ya jua hili,natakiwa kutuliza akili namjua ananijua tunafahamiana vya kutosha so dec 2018ndio tulipoana had leo hii tuna watoto wawili sjawahi kumhesabia makosa, ni mwepes wa kusamehe i dont care anaishije nje ya ndoa yetu ninachoangalia he respects me, anajus kutimiza wajibu wake kama baba kama mume, kuna muda tukikaa hivi tunakumbushana story za nyuma tunacheeeka ndio tunakumbuka daah kumbe tumekata miaka sio haba tuna watoto wawili wakike wote tumewapata baada ya kuoana alijua kunimezesha ptwo yan huyu ubavu wangu haukunywewa supu kabisa ni sahihi Mungu amenipa yule niliyemtaka niliyemataman enz hizo nilikua najiambiaga nipate mume ambaye tutaendana so jaman watu wema wapo, sisemi ndoa yangu ndio ndoa bora kuwah kutokea tunahitiliafiana lakini ni mara chache na zenye kuhesabika tunachojali ni amani furaha siwi kikwazo cha kumkosesha furaha na sipendi akose raha Mungu anitunzie huyu mume wangu, aamin

mwisho.
Katika Dunia tunayoishi yenye majonzi mengi matukio mengi yenye maumivu.
Ukipata kuona story nzuri yenye Kukutia moyo kama hii! Ni furaha sana.

Nawaombea kwa Mungu azidi kuwajaza upendo,amani, mshikamano na umoja!

Mungu awabariki sana na kuwafanikisha mnoo!

I hope na Mimi siku moja nitaamini Tena katika ndoa na mapenzi
 
Huyo mumeo angejua km ulimcheat kwa kuanzisha husiano jipya na ukapata sugar daddy ukaenda nalo Zanzibar sidhani km angekuoa..!!! Bahati yako ulijificha hata watu wake wa karibu hawakujua..!!
 
Unaonekana bonge la pisi harafu una adabu fulani hivi yaani amazing............nimekupenda bure..............na ndoa yako idumu milele.....na mwisho nimependa hapo baby girl......ndio napenda mabinti yaani watoto wa kike .......kongole
 
Where sugar daddy gone.....

Naamini sa hv Sugar daddy atakuwa ameshastaafu unakula pensheni yake tu
thats another side of the story lakini niliamua kuacha kila kitu niliamua kumuacha kwa sababu hata shemei yako aliamua kuacha yake sababu yangu na mtu ambaye nikisema nyeupe ni nyeupe i dont know kama ni mzima au anaumwa au hata amefariki japo najua aapoishi lakini sikhwah jisumbua kumtafuta
 
Unaonekana bonge la pisi harafu una adabu fulani hivi yaani amazing............nimekupenda bure..............na ndoa yako idumu milele.....na mwisho nimependa hapo baby girl......ndio napenda mabinti yaani watoto wa kike .......kongole
amina amina lol ntakupa mmoja
 
Ili story iwe ya haki. Tunaomba tuelezwe mahusiano yako na Sugar dady in details
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆ umbea tu sjui yuko wapi sjui ananitafuta au amemute, nilikutana sehem najitolea,baada ya kuona mambo ya ndoa yamekaa hivi nikaona siwez ingia kwenye ndoa nina makando kando nilibadili line ya simu, nilianza upya niliangalia moja tu ndoa.
 
Huyo mumeo angejua km ulimcheat kwa kuanzisha husiano jipya na ukapata sugar daddy ukaenda nalo Zanzibar sidhani km angekuoa..!!! Bahati yako ulijificha hata watu wake wa karibu hawakujua..!!
mamii huwez amini kuna vingi sjaelezea familia yake haielewi hata maisha yetutunaishije, hatujaruhusu mashabiki watuingilie mwishowe waanze wao kupanga kikosi, tunapambna wenyewe, hiyo siku tuliamua kuacha ya nyuma yote, unadhani hajui kama sikua na mahusiano? had mtu anakuambia ni bora nimekukuta hujaolewa hiyo ndio ilikua presha yake ni bora nipate haramia kuliko aniwek ndani mazima
 
nakuombea ikawe hivyo, achilia moyo usiukaze sana, amini kuna seco
Katika Dunia tunayoishi yenye majonzi mengi matukio mengi yenye maumivu.
Ukipata kuona story nzuri yenye Kukutia moyo kama hii! Ni furaha sana.

Nawaombea kwa Mungu azidi kuwajaza upendo,amani, mshikamano na umoja!

Mungu awabariki sana na kuwafanikisha mnoo!

I hope na Mimi siku moja nitaamini Tena katika ndoa na mapenzi
nd chances, samehe usihesabu makosa, kubali kuanza upya
 
Back
Top Bottom