Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Yes uko sahihi Nasemea Mume Au Mke Anaonekana wazi tuu wala hajifichiMwanaume Cha kwanza uwezo wa kufikiri uwe juu kuliko mwanamke wako
Siwez kuwa na mwanaume hajui anatak nn kwenye maisha hivi unaweza kumruhusu dadaako aolewe na mwanaume hata akiwa anaumwa hamjulii hata hali huyo mwanaume atakuwa na uwezo wa kumtunza huyo mke
Upendo na huruma ndio best thing kwenye relation ship