Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

Usioe mzabzab
Mwanaume ndio kichwa Cha nyumba imagine. Mkeo akinuna na wew umenuna si mtachekesha 😂😂😂
Hapo Kwenye kununa wanaume Tunateseka Unakuta Mtu Ananuna tuu Na Kazi Hupewi Daah Basi Inabidi Ubembeleze Sanaa Ndio Mambo yanakaa Sawa Na Kazi Unapewa Ila Kweli Bible Haisemi Uongo Kwamba ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI HAPO NI KWELI
 
Hapo Kwenye kununa wanaume Tunateseka Unakuta Mtu Ananuna tuu Na Kazi Hupewi Daah Basi Inabidi Ubembeleze Sanaa Ndio Mambo yanakaa Sawa Na Kazi Unapewa Ila Kweli Bible Haisemi Uongo Kwamba ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI HAPO NI KWELI
sasa usipombembeleza wewe akafanye nni hio kazi? a shoulder to cry on its a dick to ride on chukua hio.
 
Aaliyyah mwanaume umtakae ndo sisi, tatizo vigezo unaweka vingi. Other things will work out in the relationship process.Just be open on what U want and what U dont and Address It then trust the process So that U Bond

Ila kupata qualities zote unazozitaka, mpaka uanzishe audition au interview
 
Na mimi ni aina ya mwanaume mwema, ila nimekuwa mistreated sanaaaaa kiasi kwamba naanza kuwa shetani na kuwa katili.
 
Kwanini wanaume mnapifa puchu na wanawake wamejaa
 
Kwanini wanaume mnapifa puchu na wanawake wamejaa
Cha kwanza ni mazingira; unaweza Kuta upo shule za boarding zile za wanaume tupu hapo lazima utajilipua, unaweza kwenda mazingira ya ugenini huelewi mifumo lazima utaingia kambani

Uchumi; Kuna kipindi huelewi mfukoni una 3500 tu hapo hapo ubalance kuanzia nauli mpaka msosi 😂ukiwa huna Hela hata wale dadaz unaona kama hii kazi ni underdog kwangu haikubless.

Mazoea; Kuna muda sio kwamba hata una upwiru bas tu inatokea unaenda kuoga vizuri unashangaa umeshajilipua ukimaliza unajisemea "wallahi hii ya mwisho"
 
Na mimi ni aina ya mwanaume mwema, ila nimekuwa mistreated sanaaaaa kiasi kwamba naanza kuwa shetani na kuwa katili.
sote tu watu wema, tatizo hua tunashikilia vitu moyon once ukikubali khsamehe unaweza kuanza upya, ukiweza kuchukulia maisha kwa namna ambayo hutataka jambo lolote likuaffect kwa namna yoyote ile tayar you are one step ahead, ukikosewa samehe,kubali umeamua kusamehe maisha yaende ts you either uamue kuendelea naye au kuachana naye mkaishi kwa mipaka
 
aungamanishe akili yake na moyo wake pia
 
Kumbe points ni zilezile hata kwetu
Uchumi, Mazingira, mazoea
 
Hapana sio qualities but Kila mtu anandotozake Zaid ni upendo na maelewano

Namuona mdada ana ndoa but kilasiku analala na wanaume wapya
Kuna mwingine mumew asipokiwepo anamuita msen*** maana yake hawana maelewano had wanapachikana majina ya matusi
Imagine how nisichague fungu jema litalonipa amani kwenye maisha
Mwanaume akiwa na huruma ananivutia mno sababu mm pia Niko hivo so Huwa tunabond
Sasa shida ndo Huwa hapo lazima dini zitofautiane
 
Story yako mwanzon inafana Na yangu...tulikutana kanisan Ibada ilivoisha kwenye kusalimiana....the way alivokua ananiangalia while tunaongea made me fall in love with him hata siku alivokuja kunifungukia sikupoteza muda Kesho yake nilimpa jibu la yes
Ulimpa jibu la yes au ulimpa mbususu?
 
Ila kuna aina ya ugumu kidogo mtu unakuwa naonl, unakuwa sio yule wa mwanzo mpaka ichukue muda uone kweli huyu niliye nae upendonwake si wa uongo 😊
 
Mbona una vinasaba vya umerlayer? Kwa maelezo yako ulitolewa bikra ukiwa na umri gani? Kweli bora kuoa alie bikra tu
 
Mbona una vinasaba vya umerlayer? Kwa maelezo yako ulitolewa bikra ukiwa na umri gani? Kweli bora kuoa alie bikra tu
punguza makasiriko best hayakusaidii ukishajua unataka uweke kwneye takwimu za taifa?? mimi nikiwa malaya wewe unapungukiwa nn si uangalie maisha yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…