Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Napendelea mwanaume awe amenizidi umri
Ila hiyo sio guarantee ya kua na akili timamu za kimaisha
Kuna wanaume wana umri mkubwa ila akili walinyimwa[emoji23]
Anyway cha muhimu upendo
 
Mwanamume ni mwanamume tu hata uumzidi umri miaka 5. Cha muhimu auvae ukichwa na atimize majukumu yake ya kama mume na baba

Yes exactly
Ndio maana akaitwa mwanaume, as long as anahudumia, msikivu, ana akili timamu na akili za maisha plus upendo hilo linatosha
Sasa kupitana miaka 10 sijui ili uwe secured na mtu mzima kisheti si lawama hizo[emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maokoto[emoji817]
 
Napendelea mwanaume awe amenizidi umri
Ila hiyo sio guarantee ya kua na akili timamu za kimaisha
Kuna wanaume wana umri mkubwa ila akili walinyimwa[emoji23]
Anyway cha muhimu upendo
Hahaha unachujuakiben teni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…