Raha ya mshangazi usiwe mnyonge, uwe unaweza hata kukuhonga kibunda ukifulia
Kuna siku nmeenda kuungama nikasema nmesema uongo sijui nmeiba
Padri alinichamba eti msichana kwann unaiba ukikamatwa si utapigwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tangu siku hyo sijawahi ungama ni zaidi ya miaka nane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka
π€£π€£π€£ nmechekaaaaa siku hz naungama mwenyewe aisee mambo ya kwenda kushusha brand huko sitakiπ€£π€£π€£π€£Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?
Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi
Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo
Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmechekaaaaa siku hz naungama mwenyewe aisee mambo ya kwenda kushusha brand huko sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa tutaelewanaBora umalizane na Mungu pekeako tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?
Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi
Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo
Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
Kabisa tutaelewana
Padri alinichamba yule hapo sijamtajia kwamba nilizini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli π€£π€£kama nakuona ulivoondoka huku unasonyaππUsicheke tunateseka bora wakitoe kifungu cha kuungama kwa padri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli [emoji1787][emoji1787]kama nakuona ulivoondoka huku unasonya[emoji23][emoji23]
We utakuwa slay QueenKwakweli mimi hapana nataka mwanaume anizidi kila kitu kwanzia umri,akili,pesa,urefu n.k
Yaani umuache mtu sababu mmepishana umri? Kazi kweli.Ndiyo japo ilikuwa ngumu ujue walishanogewa
Alikuwa na hamu tu ya kulia, 4 yrs ndio nini sasaOne of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sana
Sasa my friend yupi on early 30
Siku anakuja kujua mpnz wake Ana 26
Alilia week nzima
ππππJamaa alikuwa na utoto kiasi chake
Me siringi najua nitapata size yangu
Chai π€£π€£π€£π€£Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?
Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi
Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo
Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
Lyatonga Mrema [emoji23][emoji23]Wanawake navyo wajua , hata ukiwa unakaribia kufa mzee kabisa asiye weza kusimamisha, kama mawe yapo kwa huyo kikongwe, Hakika hawezi kataa kuolewa na huyo mzee
Vijana tafuteni akili na hela hatakama ni vichenchi chenchi.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nyingi sana hiyo ujue yaani kijana anazaliwa tayari mdada Ana 4yrsAlikuwa na hamu tu ya kulia, 4 yrs ndio nini sasa
Lazima kuwe na tofauti kidogo ili mpate kushauliana. Mkilingana hainogiNyingi sana hiyo ujue yaani kijana anazaliwa tayari mdada Ana 4yrs