Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shenzy weee
Kuna wimbo wa Mnish aliimba kuwa alitubu ameongea na Jane, padri akauliza Jane yupi🤣 akajibiwa, padri akamcharaza viboko na kumwambia hawezi samehewa zambi ya kuongea na Jane🤣. Kumbe Mnish alijichanganya Jane ni usingizi wa padri.
 
Kuna wimbo wa Mnish aliimba kuwa alitubu ameongea na Jane, padri akauliza Jane yupi[emoji1787] akajibiwa, padri akamcharaza viboko na kumwambia hawezi samehewa zambi ya kuongea na Jane[emoji1787]. Kumbe Mnish alijichanganya Jane ni usingizi wa padri.

Mapadri ni shida, nina kitu kinachohusiana na hao watu, sema bado sijawa tyr kuwashirikisha wana JF.

Kila nikiandika nikifika mwisho nafuta [emoji17]
 
Viajana ndio maana mnakuwa kama wehu, unavuliwaje nguo na mtu alie kuacha umri kama sio kuachiwa laana mkuu ? Ndio maana wehu wanaongezeka siku hizi.. mambo ndio kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…