Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Bora niendlee kua chini yenu tu kwakweli...maana napenda mwanaume awe amenizidi kila kitu,, hapo ndo hua nafeel nipo kwenye mahusiano πŸ˜ŠπŸ€—
Asante sana kwa kujielewa unataka nini na kusimamia upande wako kwa uthabiti usiopindika.

Sina tatizo na wewe kabisa.

Tatizo ni kwa wale wanaotaka kuwa sawa au zaidi ya wanaume, halafu hapo hapo wanataka wanaume wawalipie bill zao zote.

Contradiction.
 
Sizungumzii kipato.
Akili zao bado za kitoto sijawahi kuvutiwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…