Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Yaani siku ukiwa unadate na uliyemzidi umri utashaangaa tu yaani ile hali ya kumheshimu kama kichwa inakujaga tu automatic iko naturally 😄Yani namaanisha ntakua namuona tu kama mdogo wangu...halafu ataniona simuheshimu😂😂
jifunze kukataa kistaarabu😂😂😂😂Yani haiwezekani na haitawai tokea.
🤣🤣
Ulilia nini sasa.Mara ya kwanza natongozwa na katoto nimekazidi miaka sijui 5 haki nililiiiaaa!! Sijui kalinionaje kale🙆🙆🙆
Wa mazoezi,ule mkono umejaa, 😁,powerful hands,mbona ipo mtaani ukiwa observant sio jambo linalohitaji akili kuona.mwili wa kiume ukoje
Tunapenda uzoefu wenu wa kwenye maisha. Mbona mishangazi inaruka na vijana wamewazidi umriSawa. Ila mie wanipite mbali
uteenager nautoa wapi mzee😂Hao uliowataja mbona wote wapo 20 tu, hao wanaweza date na teenagers kweli?🤣
wewe unapenda kuzimuliwa kwa nguvu😬Wa mazoezi,ule mkono umejaa, 😁,powerful hands,mbona ipo mtaani ukiwa observant sio jambo linalohitaji akili kuona.
form four wako shule saivi😃😃,,Hahahah babaako anakukataza tena we utakuwa fomfoo bila shaka🤣
aisee 😃😃Yaani siku ukiwa unadate na uliyemzidi umri utashaangaa tu yaani ile hali ya kumheshimu kama kichwa inakujaga tu automatic iko naturally 😄
Wapo wanaovutiwa nao. Not me jamaniTunapenda uzoefu wenu wa kwenye maisha. Mbona mishangazi inaruka na vijana wamewazidi umri
Hakika hiyo ni dharau kuu.Ulilia nini sasa.
Hujanielewa,mwanamke anapenda akitoka na wewe a feel unaweza kumlinda hata akitaka kushambuliwa na watu au wanayama,na ukiwa na mwili wa kiume,ni sign wewe una uwezo huowewe unapenda kuzimuliwa kwa nguvu😬
Kuna manzi nilikuwa nadate naye alinizidi umri lakini siku zote alikuwa yuko submissive kwangu yaani hilo liko naturally tu mkuu wameumbwa hivyo wanawakeKisaikolojia wanapata shida kama tuu kuwa na mwanaume waliyemzidi urefu..
Kiufupi mwanamke anajiskia vizuri akiwa chini ya mwanaume Kwa Kila kitu.
mie nilijuaga mwili wa kiume ni TALL, DARK, and HANDSOME.Wa mazoezi,ule mkono umejaa, [emoji16],powerful hands
Haha jambo jema. Kwahio tumebaki wakulungwa mambo ya baba achana nayoform four wako shule saivi😃😃,,
Sawasawa 😌Haha jambo jema. Kwahio tumebaki wakulungwa mambo ya baba achana nayo
kazi ninayo😂Hujanielewa,mwanamke anapenda akitoka na wewe unaweza kumlinda hata akitaka kushambuliwa na watu au wanayama,na ukiwa na mwili wa kiume,ni sign wewe una uwezo huo
Hivyo yaani naongea kwa uzoefu niliojionea 😀😀aisee 😃😃