Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Mpaka leo kwasababu bado tupo kwenye mahusiano japo nilikuja kumuomba nioe japo alikataa sana hofu yake alijua nitapunguza mapenzi kwake nikamuomba sana baadae akaniruhusu japo kwa mashart fulani hivi ndipo nikaoa na siku ya ndoa alikuja akashiriki mwanzo mwisho🤣🤣🤣🤣 Aaah Kwa hiyo Hadi Leo anakuamkia?yaani mtu akishachungulia nyeti zangu walah siwezi mwamkia