Mahari ni ujima, ni kuendekeza umasikini, ni biashara ya utumwa.Wazazi kuna jamabo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)
Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.
Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.
Over.
Labda wanapima oil 🛢.Wazazi watajuaje binti yao ni bikra?
🤛Wazazi watajuaje binti yao ni bikra?
We ni mbwa unajua🤣3m labla kama namuoa na mama mkwe
Hafikirii mambo madogo kama haya!Labda wanapima oil 🛢.
Fala sana mtoa mada
Mwanao,unamkaguaje uchi kuwa bikra au sijakuelewa?!!!!!Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)
Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.
Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.
Over.
lakini mahari hua haiishagi gentleman, unaweza kupunguza nyingine ukamalizia baadae kidogo kidogo. Au sikuizi unalipa complete?🐒Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.
Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.
Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)
Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.
Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.
Over.
Ndio ndio, bikra huongeza thamani ya binti.Kwani ukikuta Hana bikra ndo thamani itapungua?
Imeenda hiyo 😂We ni mbwa unajua🤣