Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Mahari ni shukrani kwa familia kumtunza mrembo wako, kama bikra haipo inamaana umenunua mshangazi
Ww ukiwa na akili za maana zinatoshaHapa kazi ipo aisee baadae mnatafuta waganga kumbe umejiroga mwenyewe kwa kuwa na kauli mbovu mbovu..
Huna hiyo pesaHiyo n pesa pamoja na kumuoa mama Seran 😎
Try me 😎Huna hiyo pesa
Try me 😎
Sawa, ila ndo sisi tupo.
Wnaa date na kina nani😁Sawa, ila ndo sisi tupo.
Hao mnaowataka wameshakufa na waliopo hawawezi kudate na nyie
Na warembo kukuzidiWnaa date na kina nani😁
Ukimbandua bado ni binti mwenye thamani, wewe uliembikiri ndie mumewe na ndie mwanaume wake wa kwanza, hana historia ya kubanduliwa zaidi yako. Tofauti kabisa na yule alipigwa miti na zaidi njemba 7 na wewe ukawa wa 8.Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine?
Aah wapiNa warembo kukuzidi
Basi na thamani ya mwanamke isiwe kwenye mahari.Kwa mtizamo wangu, thamani ya mwanamke haipo kwenye bikra ndo sababu inatoka hata kwa mazingira fulani tu. Thamani ya kweli ipo kwenye uwekezaji wa kimalezi, waliofanya wazazi/walezi.
Sawa labda unahitaji bikra vipi ukishaitoa itaendelea kumfanya awe na heshima, upendo, utulivu wa akili, mwenye akili ya maisha, mwenye kujitambua na kuwa mke na mama bora wa familia?
Wanaume wengi wanaojitambua wana "angukia penzini mwa akili ya mwanamke", sio bikra, umbile, rangi , elimu kubwa, n.k. unaweza kuwa kwenye uhusiano na mwanamke hata ukiambiwa mahari mamilioni unasema nn pesa hata wangesema nitoe moyo na "mawashi washi" yote niliyonayo tumboni natoa kwa sababu sio pisi kali ya kupigia picha ila pisi kali kichwani na kila ukiwa nae haboi hapoi unajihisi upo salama na future ile pale, Yaan unasema moyoni we ndo wangu unanifaa.
Ah kudadeki, tukisikia fulani ameua Au amejiua kisa mapenzi, ujue nyuma kuna mengi ameshindwa kuyavumilia 😂Kuna jamaa ametoa 5M na makorokocho kibao jumla kama M5.5+ halafu hiyo bebe inapigwa ma washikaji wengi tu💔
Msitupangie