Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine?Ndio ndio, bikra huongeza thamani ya binti.
Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine?Ndio ndio, bikra huongeza thamani ya binti.
Zingatia ushauri huu.We tia mimba mtu acha ufala
Niamini unaletewa bure kabisa
Hapa kazi ipo aisee baadae mnatafuta waganga kumbe umejiroga mwenyewe kwa kuwa na kauli mbovu mbovu..3m labla kama namuoa na mama mkwe
Wewe Mpare3m labla kama namuoa na mama mkwe
Mkuu je njia hii itafaa kwa watoto wetu.Dawa ya wazazi wa namna hiyo ni kumpa mimba binti yao kabla ya mahali na baadae unajichukulia bure.
Tulikubariana mpige mimba yaan weka deni kopa kisha nenda kawaimbishe tena wakikataa piga tena nyingine yaan ongeza deni kuonyesha kwamba upo serious na binti yao kisha nenda tena kaimbishe tena kwamba unataka kuoa mazima binti yao si wanaona wajukuu hao wanachezacheza vipi nitoe laki 5 si inatosha hio nyingine milioni 2 na laki 5 nitatoa tu tukiwa tunaendelea na maisha pamoja waakisema bado hawataki ongeza tena mimba nyingine liwe deni lingine hakuna mzazi anaetaka kumuona binti yake anazeekea nyumbani na huku kuna mwanaume mmoja tu ameweza kumzalisha zaidi ya mara 2 na bado mpo pamoja mnapendana na wewe unampenda nakuambia huyo binti unapewa bureWazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.
Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.
Oojogoli mwene bole wa bole, kashenji gete akayanda kanaka, kashidema matongo.Kashenji ghete kayanda akho! 3m tu makelele mingi😏
Kuanzia leo sikukasirikii tena aisee 🙌
KabuliiiKashenji ghete kayanda akho! 3m tu makelele mingi😏
Kabisa😅Kabuliii
Kakutola gete akenako😂Oojogoli mwene bole wa bole, kashenji gete akayanda kanaka, kashidema matongo.
Woli, goja nije nakademe mayengo. Wewe mpare Mbaga JR hatuhitaji mahali yako. Mdogo wetu ngoja tumtafutie mtoto wa Baresa.Kakutola gete akenako😂
Kakutola gete akenako😂
Safi! Kaka one🔥😎Woli, goja nije nakademe mayengo. Wewe mpare Mbaga JR hatuhitaji mahali yako. Mdogo wetu ngoja tumtafutie mtoto wa Baresa.
Utaendelea kumsikiliziaga kwenye Redio.