Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Nazaa nae tu ila kila mtu akae kwake. Tuwe kama India, wanaume nao alipiwe mahari. Kwani huyo mwanaume hajatunzwa na wazazi?Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine?