Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

Tatizo ukipewa bure hautamheshimu.

Unataka bikra je wewe unayo? Kama hauna mbona haukumuoa uliyekutoa bikra?
 
Hapa Sheikh alimaliza kila kitu
 

Attachments

  • Saved-___5610___-.mp4
    8.6 MB
  • Video_2554053004963867.mp4
    5.3 MB
Tulikubaliana Mahari isizidi mshahara wa Mwalimu mwenye Certificate anaeanza kazi.
Nje ya hapo ni kuhujum uchumi.
 
Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine?
Ukimbandua bado ni binti mwenye thamani, wewe uliembikiri ndie mumewe na ndie mwanaume wake wa kwanza, hana historia ya kubanduliwa zaidi yako. Tofauti kabisa na yule alipigwa miti na zaidi njemba 7 na wewe ukawa wa 8.
 
Mimi nilimwambia mwenzangu kabisa Sina zaidi ya laki 5 na ukifika kwenu midomo midomo wote wakae kimya kwani kuhairisha ni sekunde.Uchumba miaka 9 na mtoto juu.Mbona walikubali kilichoongezeka ni kitambaa Cha suti Cha mkwe na shemeji tu.
 
Basi na thamani ya mwanamke isiwe kwenye mahari.
 
Kuna jamaa ametoa 5M na makorokocho kibao jumla kama M5.5+ halafu hiyo bebe inapigwa ma washikaji wengi tu💔
Ah kudadeki, tukisikia fulani ameua Au amejiua kisa mapenzi, ujue nyuma kuna mengi ameshindwa kuyavumilia 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…