J Joseph kimlio JF-Expert Member Joined May 18, 2026 Posts 745 Reaction score 1,329 Jun 8, 2026 #61 de Gunner said: Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine? Click to expand... Nazaa nae tu ila kila mtu akae kwake. Tuwe kama India, wanaume nao alipiwe mahari. Kwani huyo mwanaume hajatunzwa na wazazi?
de Gunner said: Alafu ukisha mbikili thamani inaendelea kuwepo au? Maana hata yule asiye bikra naye alibikiriwa na mwingine? Click to expand... Nazaa nae tu ila kila mtu akae kwake. Tuwe kama India, wanaume nao alipiwe mahari. Kwani huyo mwanaume hajatunzwa na wazazi?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Jul 17, 2026 #62 Numbisa said: Tatizo ukipewa bure hautamheshimu. Unataka bikra je wewe unayo? Kama hauna mbona haukumuoa uliyekutoa bikra? Click to expand... Kwahyo wanaume wote washawahi kutoa BIKRA?? je ukimpata mwanaume BIKRA wewe ndo utamtolea mahari
Numbisa said: Tatizo ukipewa bure hautamheshimu. Unataka bikra je wewe unayo? Kama hauna mbona haukumuoa uliyekutoa bikra? Click to expand... Kwahyo wanaume wote washawahi kutoa BIKRA?? je ukimpata mwanaume BIKRA wewe ndo utamtolea mahari