😀😀 umasikini Mkuu .Hao wanaoonga magari ndo wananishangaza sana.. Mtu anahonga gari ya 250M.. Hua najiuliza alipewa penzi la namna gani huyuu...🤔
Au aliingiza puani, vitu vingine vinaumiza sana kichwa.
Au tatizo ni umasikini wetu ndo maana tunashangaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SIMPNdugu yangu, ukianza kuhesabu mihongo, utaishia kuua! Fomula ni kuhonga kile cha ziada kama unatupa vile. Hata ukiona amempakiza mwanaume mwingine katika hilo gari, unafurahi kwa vile ulimwezesha wakati na yeye wakati huo alikuondolea uhanga.
Kumbe tuache kujifanya hatutaki kutoa zaidi ya 50k, ni vile tukihonga 500k ndo hatuli tena bata miezi mitatu, na kimkweche kinapaki home maana hela ya mafuta tunakosa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀 umasikini Mkuu .
Mtu anapiga deals za milioni 100 mpaka 200 kwa muda mfupi. Hiyo 250M ni pesa ya kulishia mbwa kwa mwezi mmoja.😀(mfano wazee wa katoro).
Asante sanaSIMP
Kweli wewe ni mzee umekomaa Mkuu.Ndugu yangu, ukianza kuhesabu mihongo, utaishia kuua! Fomula ni kuhonga kile cha ziada kama unatupa vile. Hata ukiona amempakiza mwanaume mwingine katika hilo gari, unafurahi kwa vile ulimwezesha wakati na yeye wakati huo alikuondolea uhanga.
Una mbingu yako ya pekee mkuuUhakika mkuu pia nimesha mzalisha double double (nimepima na DNA).
KaribuAsante sana
Ni maisha tu. Kama unaweza kumpatia omba omba barabarani ni sawa na kumpatia hitaji mtu anayekusaidia kuondoa uhangaKweli wewe ni mzee umekomaa Mkuu.
Hakika warembo/taifa linafaidika na uwepo wako.
Ok!Hiyo ni issue nyingine mkuu.
😅😅 Daaa! Mkuu umenichekesha sana aisee God bless you Man.Kumbe tuache kujifanya hatutaki kutoa zaidi ya 50k, ni vile tukihonga 500k ndo hatuli tena bata miezi mitatu, na kimkweche kinapaki home maana hela ya mafuta tunakosa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna namna mkuu😅😅 Daaa! Mkuu umenichekesha sana aisee God bless you Man.
Lazima ujikune unapo weza mkuu otherwise utalala njaa.
Kweli kabisa, na kula vitu tight tunapenda.. Maisha magumu sana haya.Lazima uwe rada anytime mkuu.
Remember one mistake one goal.
Funzo, hakikisha hutoi zawadi kwa shinikizo. Mfano usiponipa pesa nakuacha; hapo sema kwaheri na usigeuke nyumaKweli kabisa Mkuu.
Vijana tumejifunza kupitia wewe.