Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

Hii ya kufanya kosa Kisha unajificha kwenye makosa ya wengine ili kosa lako lisionekane sio poa kabisa, yaani unalazimisha makonda aonekane hajafanya kosa kisa wengine wanatembea na watoto wadogo, wanaiba pesa za uma, ushoga?

Makonda namkubali kinoma ila anapokosea aambiwe, kwani kulikuwa na ulazima kusema vile!? Hata kama una cheo kikubwa jaribu kuheshimu wa chini yako
 
Maadili ni yule mwanamke kuregeza sauti na kujirahisisha mbele ya halaiki?

Alichokifanya Makonda ni sahihi kwa asilimia mia moja.
Aiseee, hivi huwa hamuoni aibu kutetea ujinga!? Kwamba kutosogeza Mic karibu na mdomo au kuwa na sauti ndogo ni kujirahisisha!? Vipi yule anayerembua macho naye anajirahisisha kwa nani? Naona mmeanza kuingilia kazi ya Mungu (uumbaji) sasa subirini majibu.
 
Ukiachana na hiyo skendo ila jamaa wanamponda sana mawe, sababu ana kitu tofauti na wengi.
 
Mwambie ukweli huyu pimbi!
 
Kwani usinge zungumzia ushoga na usagaji usinge eleweka?

Mnapenda sana kujadili homo sex? Lol
 
Makonda ana hasira, anafahamu watumishi wengi ni wanafiki na hasa alifahamu pale alipotoka kwenye uongozi, ali experience kitu ambacho kilimpa uchungu sana.

Wengi walimcheka, dhihaka na kumtusi, tunaelewa waTanzania wengi ni wanafiki, hao hao watumishi ndio walikua wakimponda sana.

Sasa jamaa karudi haangalii uzuri, anajua hao wanarembesha sauti na kuigiza upole ndio wachawi wake, hivyo jamaa anapiga kwenye mshono.

Safi sana, Makonda nyoosha mbuzi.
 
Angekuwa mama yako anaambiwa vile ungejisikiaje,kijana wa hovyo sana wewe
 
Kichwa chako umekifanya bustani ya kufugia nywele umbwa wewe!
 
Angekuwa mama yako anaambiwa vile ungejisikiaje,kijana wa hovyo sana wewe
Sioni shida mie kwenye yale maneno. Tunashida zinazozidi hizo na hatuzitatui tusijifanye tunajali.
 
Hahaha
 
Ningependa kujua undani wa makuzi yako, mfano jinsi baba yako alivyomtendea mama na dada zako. Najua ukweli kwamba kwa baadhi ya watu wa Musoma kwa mfano, hawawezi kuona tatizo la alichofanya Makonda. Sasa inawezekana kabisa na wewe malezi yako ndio yanakufanya usione tatizo hapa, lakini lipo. Labda fikiria kwamba yule dada angekuwa ni mama au dada yako, ungeona sawa alichofanyiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…