Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

Kama mimi ni mwili, nafasi na roho kwanini watu bado wanasema mwili wangu, roho yangu na nafsi yangu?
nimekwambia hiyo "wangu au Yangu" ni kama chachandu you can use it or leave it sio necessary kihivyo kwamba usipoitumia neno haliwezi kukamilika au kuleta maana, yaani ni maneno ya kuonesha umiliki
 
kwan haujui kama kuna mwili nafsi na roho,, mwili ni muunganiko wa viungo mfano mkono, kichwa, miguu nk, nafsi ndo huyo wew ambae ni mimi alf roho ndo iyo inayo ifashauriana na nafsi kuu-umiza mwili, kwa matendo ya kikuda

ndo maana utaskia, "nafsi au roho yangu imegoma kufanya jambo flani",, nafsi na roho vikikoma kufanya kazi, mwili unabaki bure kama pambo
Ukiirudia hiyo paragraph yako ya mwisho uliposema roho yangu, nafsi yangu it means ni yako ila sio wewe, sasa wewe ni nani?
 
MIMI ni nafsi ya kwanza umoja.

hicho unachosema kiko nyuma ya MIMI ni nafsi yako.
NAFSI haifi ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
NAFSI ni mfano wa MUNGU mwenyew.

alijiumba kwa mfano wake.

kwahyo wew una MUNGU ndani yako.
Umeelezea vizuri labda ila kina Kiranga wakija watasema elezea nafsi ni nini😂😂... Utawaambiaje hapo?
 
sa kama sio mimi ni nani, mbona unanilazimisha sio mimi wakati ni mimi?
Ukisema gari yangu, haimaanishi kwamba wewe ni gari ila gari inamilikiwa na wewe so ni the same na ukisema roho yangu it means wewe sio roho ila roho inamilikiwa na wewe sasa wewe ni nani?😂
 
tumekutana barabarani nikiwa na mzigo ukaniuliza huu mzigo wa nani nikakujibu ni wa kwangu",, mmiliki atakua nani ewe kijana mdogo?,, uvumilivu wangu unakaribia kuisha nimebaki kukung'ata😏
 
Hapo wewe utakua ni mmiliki ila sio kwamba wewe ndio huo mzigo, sasa Mimi nnachotaka kujua ni huyo wewe ambae anajipa umiliki wa vitu ni nani?... Usining'ate nitaenda kuweka mavi ya kuku uoze meno😅😅😅
 
nimetumia mfano wa mzigo ili unielewe kwamba kuna baadhi ya maneno yanatumika kama kimilikishi,, mimi ni mimi na kila kitu unacho kiuona kwenye mwili wangu ndani na nje ayu zea?

wew na PeeWee ni mtu mmoya eeeh😎
 
Sasa ukishaweka umilikishi ujue kunakua na Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, embu jaribu kutafakari hapo kwanza.... Hapana Mimi tangu nizaliwe sijawahi miliki ID mbili za jamiiforum so sio mtu mmoja.
 
win-one kitu ambacho naweza kusema maneno hayawezi kutosha kueleza swali la mimi ni nani.
Mifano yote unayotoa inaonesha gap liliopo kati ya mimi na vinavyomilikiwa.
Tunafanyaje kufill hilo gap?
 
hiyo mimi ya nyuma umeiweka wew kwa mapenzi yako ewe over thinker mtiifu ka kitu kadogo ila unakakuuuuuuuza mfyuuuuuu

sawa ila naona kama mnafanan ukiwepo anapotea akiwepo unapotea
 
inabidi tuache kufikilia vitu ambavyo havipo, tuishi tu kama binadamu wengine
 
hiyo mimi ya nyuma umeiweka wew kwa mapenzi yako ewe over thinker mtiifu ka kitu kadogo ila unakakuuuuuuuza mfyuuuuuu

sawa ila naona kama mnafanan ukiwepo anapotea akiwepo unapotea
Sisi ni watu wawili tofauti labda mitazamo tu imefanana kwenye hili jambo.
 
hiyo mimi ya nyuma umeiweka wew kwa mapenzi yako ewe over thinker mtiifu ka kitu kadogo ila unakakuuuuuuuza mfyuuuuuu

sawa ila naona kama mnafanan ukiwepo anapotea akiwepo unapotea
😂😂😂😂 Eti mfyuuuuuu.... Inshort sijaweka ila inajiweka yenyewe Kila unapojipa umilikishi.

Itakua huwa tunapishana tu, wakati yeye anacomment Mimi nakua nipo kwenye nyuzi zingine na yeye the same.
 
Back
Top Bottom