Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

😂😂😂😂 Eti mfyuuuuuu.... Inshort sijaweka ila inajiweka yenyewe Kila unapojipa umilikishi.

Itakua huwa tunapishana tu, wakati yeye anacomment Mimi nakua nipo kwenye nyuzi zingine na yeye the same.
kwanini unaenda kwenye nyuzi nyingine wakati kuna watu kwenye uzi wako?,,, sherehe ipo kwako ila umeiacha unaenda kudoea kwa jirani😏😏

haiwezi kujiweka bila kuwekwa bwana😜
 
I mean binadamu wasio penda kufikilia nje ya box bwana😆
Kutoka nje ya matrix bibie sio kazi ya mchezo. Kuna mstari kwenye biblia yesu anamwambia mtu ukitaka kunifuata sharti ujikane. So kutoka nje ya box ni kujikana

Angalizo sio mfuuasi wa vitabu vya dini zote ni msomaji tu wa kutafuta maarifa.
 
kwanini utafute maarifa? hayo ulonayo hayakutoshi sio?
 
kwanini unaenda kwenye nyuzi nyingine wakati kuna watu kwenye uzi wako?,,, sherehe ipo kwako ila umeiacha unaenda kudoea kwa jirani😏😏

haiwezi kujiweka bila kuwekwa bwana😜
Kwasababu hamna mgeni hapa so wote mnaweza kujihudumia wenyewe😂.

Basi tuseme unaiweka wewe mwenyewe kila ukijipa umiliki inakua ipo inasubiri uitolee maelezo😅

dosho12 njoo huku
 
Knowledge haishi maana creation iko kwenye constant change
hauoni ukifa unakufa hayo na haotokua na umuhimu?,, acha kuchimbua vilivyo fukiwa utakutana na uozo uanze kuchanganyikiwa bure, shauri yako
 
hauoni ukifa unakufa hayo na haotokua na umuhimu?,, acha kuchimbua vilivyo fukiwa utakutana na uozo uanze kuchanganyikiwa bure, shauri yako
Ladba kufa sio mwisho, it can be the beginning 😂
 
beginning of what?, ukifa umekufa na utakua umeisha wew na huyo mimi wako aliopo nyuma ya mimi😆😆😆
What if nikisema kifo hakuna😂, maana nini kinakufa ni mimi au mwili?
 
Back
Top Bottom