Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

Mr. Msocha Galanos secondary school Tanga hiyo. Huyu jamaa ni snichi kinoma zaidi ua yuda escariot.
 
Mw. Nunda na Kavishe omba usikutane na hao people hasa ukiwa darasani zeee alafu wakukute na skert utajuta. Kijana kama kijana akili huna ila unaharibu wadada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…