kuna mwalimu alikua anaitwa kavuye[R.I.P] SHINGATINI SEC mwanga[usangi]huyu jamaa alikua noma,teacher sijui alikua mchawi, alikuwa head master then mgomo miaka ya 97 akachomolewa na mgomo sababu ya ukuda wake, unaambiwa alishikiwa bunduki na mzee mmoja tajiri anaitwa mekzedeki,digi akageuka kuwa mnazi teteteteh. alikuwa na vijana wake amewatoa thame huko mamba miamba vijeba haswaa ndo anawatumia kama viongozi.
baada ya miaka kadhaa akarudi kama discipline master hahah, asee watu tulinyooka anaweza kuja bwenini saa nane usiku kuitisha rokoo....ila na shukuru alinisaidia maana nisinge kuwa leo hapa, ningekuwa njangili la kutupwa.