Nakazia kbsaI used to think the same hasa katika BAHATI
Ila baada ya kuwa na uzoefu mkubwa katika hustling game
Niligundua neno BAHATI , NI delusion huwa hakuna bahati isipokuwa binadamu ana-uwezo wa kujitengenezea bahati.
MTU anaweza kukuambia hivi
Hey ! Ur the luckiest person on the planet.
Ila ukweli upo hivi
Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.
So u create ur own luck
Ukiona unapita njia nyepesi ujue kuna watu wametengeneza mazingira na hawa watu walimuia and not luck
NO, cha kwanza hustling culture ni kama watu wa red pill. maisha yapo ivi,I used to think the same hasa katika BAHATI
Ila baada ya kuwa na uzoefu mkubwa katika hustling game
Niligundua neno BAHATI , NI delusion huwa hakuna bahati isipokuwa binadamu ana-uwezo wa kujitengenezea bahati.
MTU anaweza kukuambia hivi
Hey ! Ur the luckiest person on the planet.
Ila ukweli upo hivi
Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.
So u create ur own luck
Ukiona unapita njia nyepesi ujue kuna watu wametengeneza mazingira na hawa watu walimuia and not luck
HakikaNakazia kbsa
NO, cha kwanza hustling culture ni kama watu wa red pill. maisha yapo ivi,
Wewe ni mtengenezaji wa nguo basi badala ya kutumia hustle culture kwa kigezo cha kupambana kitaa, bali unatakiwa ukae kwenye supply chain kubwa! badala ya kukomaa na mashine unatakiwa uanze na sehem kubwa ya ushonaji maana yake utakua karibu zaidi na tenda za kushona kwa ukubwa kama uniform za mashule, events etc
Ukiwa na mentality ya hustle culture utakua unapiga mak time na kujihakikisha failure for the rest of life
hustling is a sign of poverty! you need to stop it, you cant make it kwa kutumia neno hustling, unadhan vunja bei anafanya kazi zaidi yako? mo dewji? bakhresa? bilgates? you think they work more than you? the answer is NO:The game is not soft
Nafikiri sisi waafrica hiyo hustling culture tunayo
Ila ikiwa wewe haujamia na ukafanikiwa katika field yako ujue kuna watu waliumia
Na sio bahati .
Mfano Mimi sikusoma Shule ya kata wala Serikali
Tangu chekechekea na nikamaliza chuo nikapewa Connection kubwa ya Kazi .
So I can't call this shit luck , but I can Trace from my family background utakuta familia yangu iliumia na kuteseka Sana ili the next generation tuishi vizuri
The same kwako Leo una grind Sana ili watoto wako wasizaliwe na kukulia katika umasikini au kuwa cheap labor.
Luck is delusion .
Luck is delusion.The game is not soft

hustling is a sign of poverty! you need to stop it, you cant make it kwa kutumia neno hustling, unadhan vunja bei anafanya kazi zaidi yako? mo dewji? bakhresa? bilgates? you think they work more than you? the answer is NO:
if thats the case nani wanaofanya kazi zaidi yao? probably wafanya kazi wao, sasa mpaka apa ushaona unaangukia upande gan?
again WRONG: unaweza kua na biashara kubwa na bado ukafunga, hujawahi kuona viwanda, biashara., mabenki yamefungwa kwa kua put of business? if yes that means scale tayar haijasaidia! Rudia mfano nliokupa mwanzo wa kushona, nlisema ukiwa na wigo ule unakua KWENYE NAFASI NZURI sjasema unafanikiwa elewa neno KWENYE NAFASI NZURI, hivo basi unaweza kua na upana ule wa biashara na bado ukafeli nadhan unanielewa sasa!Mkuu elewa haya mambo kwanza
Hard work doesn't make you rich but it is help you get by
Kufanya Kazi kwa bidii huwa hakumpi MTU utajiri Ila anajikwamua kimaisha
Ila kinachompa MTU utajiri ni Frequency (Masafa) na scale (wigo)
Ukiwa Unaweza kuuza bidhaa yako nchi nzima na nje ya nchi maana yake wewe ni tajiri
MTU Kama VUNJA hata akikaa DSM mwaka mzima akiwa chumbani kwake but he can make money
Kwakuwa yeye hayupo katika Limited of time and energy
"You can sell ur product and service to thousands of people but you can't sell ur physical labor and efforts to thousands of people"
pia unaweza kusoma hili bandiko baada ya utafiti kufanyika:Mkuu elewa haya mambo kwanza
Hard work doesn't make you rich but it is help you get by
Kufanya Kazi kwa bidii huwa hakumpi MTU utajiri Ila anajikwamua kimaisha
Ila kinachompa MTU utajiri ni Frequency (Masafa) na scale (wigo)
Ukiwa Unaweza kuuza bidhaa yako nchi nzima na nje ya nchi maana yake wewe ni tajiri
MTU Kama VUNJA hata akikaa DSM mwaka mzima akiwa chumbani kwake but he can make money
Kwakuwa yeye hayupo katika Limited of time and energy
"You can sell ur product and service to thousands of people but you can't sell ur physical labor and efforts to thousands of people"
again WRONG: unaweza kua na biashara kubwa na bado ukafunga, hujawahi kuona viwanda, biashara., mabenki yamefungwa kwa kua put of business? if yes that means scale tayar haijasaidia! Rudia mfano nliokupa mwanzo wa kushona, nlisema ukiwa na wigo ule unakua KWENYE NAFASI NZURI sjasema unafanikiwa elewa neno KWENYE NAFASI NZURI, hivo basi unaweza kua na upana ule wa biashara na bado ukafeli nadhan unanielewa sasa!
2) Hata uweke juhudi kiasi gan katika maisha kama hio bahati haipo, ata ufanye kazi kiasi gan ni kazi bure
Vyovyote tu sawa ila bahati na utajiri hapana bhn ao matajiri unao sema ni mediocre unajua ni risks gani walifanya kuwa hapo
Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.pia unaweza kusoma hili bandiko baada ya utafiti kufanyika:
The dirty secret about success
Talent and grit have less to do with getting you ahead than you might imaginewww.bbc.com
View attachment 3521758
hahaha unaishi kwenye dunia yako aisee, life haipo ivo, most rich people unaowaona they arent intelligent but they depend on graduates! you see, in life watu wengi wanaamini katika juhudi kwa sababu ya media inavopotray hustle culture and most of them end up kwenye hio hio hustle culture ila kitu ambacho hukijui ni, kuna watu million ambao wanafanya kazi kwa bidii sana lakini they never made it and you will never know them because media haiwaonyeshi, media inafocus na wale wenye story za kuanzia kitaa mpaka kufanikiwa because thats what you want to hear, na ndo hao wachache kwa mfano tanzania katika stats ya mwaka juzi kuna mamilionea 24,000Bahati as I told you is delusion
maisha ni Kama kifo favors no one
Ukiona umefanikiwa ujue ni akili yako na juhudi zako .
Na ukiona MTU amekufa ujue no m either akuchukua tahadhari au mwili umeachoka umeamua kuondoka and nothing else.
Maisha ni ukweli na uhalisia hakuna bahati , baraka , wala laana
Hapo juu niliweka maneno ya kiingereza ukiyasoma utaelewa .
Vyovyote tu sawa ila bahati na utajiri hapana bhn ao matajiri unao sema ni mediocre unajua ni risks gani walifanya kuwa hapo
Ndiyo kweli kabisa there's efforts ambazo watu wengi hawataki kuziona wanaishia kuamini bahatiKitu ambacho watu hawataki kukubali mainly Africa
Ni kuwa MAISHA huwa ni kitu cha kweli
Na maisha huwa haya -respond in luck , blessings or curse.
Usipochukua tahadhari katika maisha utakufa mapema haijalishi wewe umeokoka , unasali Sana n.k
Usiposoma kwa bidii ujue hauwezi kupata A kila somo haijalishi umefanya maombi kiasi gani.
UNAWEZA UKASEMA WATOTO WA BAKHRESSA WANA BAHATI!?
Wakati unajua kabisa baba yao alikuwa committed akawashawishi wanasiasa akapata Viwanda na Leo hii amepata wealth family
Hauwezi kuita bahati au baraka Ila ni efforts ambazo zinaambatana unyonyaji , manipulation n.k and not luck.
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terroristKatika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi
Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei ndo mwenye dira kama unayotaka kwenye uhalisia, hili ni kosa kubwa sana kwan njia za kutoka huwa ziko limited, mfano vunja bei akisema aanze upya leo akisema atumie njia zile alizotumia mwanzo hakutakua na vunja bei kwani fursa alioipata mda ule sio sawa tena katika awamu hii, anaweza kufanikiwa tena lakini kwa kupita njia tafauti, however ni ngumu sana kufanikiwa kwani mafanikio katika maisha hua ni Timming(Bahati) na utayari wako!
Hivo basi katika safari yako ya kutaka kufanikiwa, Try as many things as you can katika njia tafauti tafauti, lakini pia unatakiwa kujua kufanikiwa ni Bahati inapokuangukia ikikukuta ukiwa tayari. Katika mfumo wa capitalism ambao tunautumia hata Tanzania mafanikio ni kwa watu wachache sana, hivi zingatie thamani zaidi ya malalamiko!
Happy new year