Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist

AKILI ya kitoto itakuwa ni kuja hapa kurusha matusi kwa watu usiowajua kama unavyofanya wakati watu kama mimi we get paid kuandika kwenye mitandao hii hii ambayo wewe unarushia matusi, so think about it!!
 
Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi

Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei ndo mwenye dira kama unayotaka kwenye uhalisia, hili ni kosa kubwa sana kwan njia za kutoka huwa ziko limited, mfano vunja bei akisema aanze upya leo akisema atumie njia zile alizotumia mwanzo hakutakua na vunja bei kwani fursa alioipata mda ule sio sawa tena katika awamu hii, anaweza kufanikiwa tena lakini kwa kupita njia tafauti, however ni ngumu sana kufanikiwa kwani mafanikio katika maisha hua ni Timming(Bahati) na utayari wako!

Hivo basi katika safari yako ya kutaka kufanikiwa, Try as many things as you can katika njia tafauti tafauti, lakini pia unatakiwa kujua kufanikiwa ni Bahati inapokuangukia ikikukuta ukiwa tayari. Katika mfumo wa capitalism ambao tunautumia hata Tanzania mafanikio ni kwa watu wachache sana, hivi zingatie thamani zaidi ya malalamiko!

Happy new year
Ili upate pesa lazima ujikane nafsi yako mwenyewe, ila hela kila mtu anazo.
 
AKILI ya kitoto itakuwa ni kuja hapa kurusha matusi kwa watu usiowajua kama unavyofanya wakati watu kama mimi we get paid kuandika kwenye mitandao hii hii ambayo wewe unarushia matusi, so think about it!!
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
 
AKILI ya kitoto itakuwa ni kuja hapa kurusha matusi kwa watu usiowajua kama unavyofanya wakati watu kama mimi we get paid kuandika kwenye mitandao hii hii ambayo wewe unarushia matusi, so think about it!!
Umeona vile akili huna nimekutekenya kidogo umelipuka,kumbe jibu ni moja wewe unalipwa buku saba kusaliti taifa lako na utu wa watanzania, sasa rasmi wewe ni wakala wa ugaidi.
 
Umeona vile akili huna nimekutekenya kidogo umelipuka,kumbe jibu ni moja wewe unalipwa buku saba kusaliti taifa lako na utu wa watanzania, sasa rasmi wewe ni wakala wa ugaidi.

You have made a terrible error thinking that all JF members are the same


Mkuu - I'm not from ur world , I'm the guy with strict code , I don't play these types of games

I look forward to show you , how the different I'm.

HAYA LAND (HOV).
 
Nyumbu jike Lamomy anaamini kufanikiwa ni hadi yatokee maandamano uchwara ya kihalifu ili abebe gunia la mchele bega la kulia na mtungi wa gesi mkono wa kushoto mali ambazo siyo zake na haijulikani kazitoa wapi kama alivyofanya October 29
Wewe mimi mafanikio tayari ninayo, nna uwezo wa kuku to mber na kukulisha mpaka unalamba mchanga okay?
 
Tunaongelea watu wote mkuu maana kunawatu hawajaenda shule na wamefanikiwa hicho unacho tamani watu wasome nawanifunze aliyeandika nibinadam mfano mimi wa la saba nijifunze wapi zaidi yakufanya na kuangalia
saf, sasa umeona nlichokua naelezea, wakati mwingine anasoma kwa bidii kuna mwingine ni la saba! kwahio agenda ya kwamba mafanikio ni juhudi sio kwel
 
Sawa mkuu lakini kupokea hela baada ya kazi sindowatu wameanzia huko kuwekeza na mwisho wakawa na kitu ambacho hata wakiumwa wakaendelea kupok
ni ngumu kupiga hio turn over, wengi walianza straight kwa kukopa
 
Back
Top Bottom