The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Naona kuna mtanage mkali katika hii madaga ila mimi naomba nichangie kivingine..
Knowledge versus understanding
Knowledge versus understanding
Luck has alot to do with preparation, you have to prepare yourself to be successful ndio maana tunaona political figures wengi wana pave way kwa vizazi vyao either kurithi mali na madaraka.Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi
Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei ndo mwenye dira kama unayotaka kwenye uhalisia, hili ni kosa kubwa sana kwan njia za kutoka huwa ziko limited, mfano vunja bei akisema aanze upya leo akisema atumie njia zile alizotumia mwanzo hakutakua na vunja bei kwani fursa alioipata mda ule sio sawa tena katika awamu hii, anaweza kufanikiwa tena lakini kwa kupita njia tafauti, however ni ngumu sana kufanikiwa kwani mafanikio katika maisha hua ni Timming(Bahati) na utayari wako!
Hivo basi katika safari yako ya kutaka kufanikiwa, Try as many things as you can katika njia tafauti tafauti, lakini pia unatakiwa kujua kufanikiwa ni Bahati inapokuangukia ikikukuta ukiwa tayari. Katika mfumo wa capitalism ambao tunautumia hata Tanzania mafanikio ni kwa watu wachache sana, hivi zingatie thamani zaidi ya malalamiko!
Happy new year
Tunaongelea watu wote mkuu maana kunawatu hawajaenda shule na wamefanikiwa hicho unacho tamani watu wasome nawanifunze aliyeandika nibinadam mfano mimi wa la saba nijifunze wapi zaidi yakufanya na kuangalia
lazma uwe kwenye track ya kufanikiwa ili ufanikiwe, bahati ni huko kupata connection ya waliofanikiwa ili uwe kwenye njia.I used to think the same hasa katika BAHATI
Ila baada ya kuwa na uzoefu mkubwa katika hustling game
Niligundua neno BAHATI , NI delusion huwa hakuna bahati isipokuwa binadamu ana-uwezo wa kujitengenezea bahati.
MTU anaweza kukuambia hivi
Hey ! Ur the luckiest person on the planet.
Ila ukweli upo hivi
Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.
So u create ur own luck
Ukiona unapita njia nyepesi ujue kuna watu wametengeneza mazingira na hawa watu walimuia and not luck
lakini wasomi wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko ambao hawajasoma ukichukua katika umati mkubwaYes ndo maana kule juu nilielezea kuwa
Life favors no one
Kuwa maisha huwa hayampendelei MTU na maisha ni uhalisia .
Mfano hauitaji kuwa msomi kuwa tajiri au kufanikiwa na haimaniishi usipokuwa msomi utafanikiwa
Sote aliyesoma na ambaye hajasoma we can make it in life
Na hii haitokani na bahati Ila kukaa katika ukweli wa Maisha
Watu ambao hawajasoma they make more money kwakuwa hawaani katika njia moja ya kufanikiwa
Ila msomi utamkuta hanashindwa kunavigate kwakuwa anaamini katika mipaka na kusahau mipaka is useless na haipo
Kama kasomea ualimu atataka akaomae umo umo while dunia na maisha hayatumbi
Luck has alot to do with preparation, you have to prepare yourself to be successful ndio maana tunaona political figures wengi wana pave way kwa vizazi vyao either kurithi mali na madaraka.
Hapa sitaki sana kuingia huko, ila niseme kwa upande wangu kuna vitu katika mafanikio ya mtu huchangiwa na mambo haya madogo 2. ( Knowledge and understanding )karibu
lakini wasomi wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko ambao hawajasoma ukichukua katika umati mkubwa
lazma uwe kwenye track ya kufanikiwa ili ufanikiwe, bahati ni huko kupata connection ya waliofanikiwa ili uwe kwenye njia.
bahati ingekuwepo watu wasingehangaika na waganga, watu wasingeenda kukaa shule for more than 20 years.unaamini bahati ipo ama haipo
kwahio wewe huamini bahati ipo
Wasomi wengi wameajiriwa au unaselakini wasomi wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko ambao hawajasoma ukichukua katika umati mkubwa