Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

hehehehe umesoma article nliokutumia?
 
Ukiangalia vizuri comenti nyingi nikama kila mtu anatoa ushuhuda wa njia aliyotumia kufanikiwa au waliyotumia wengine wakafanikiwa binafsi naamini njia za kufanikiwa ni nyingi kikubwa uwe na bidii na nidhamu ya kutunza unachokipata mtoa post hongera
 
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
 
Kupokea ela baada ya kazi sio mafanikio mkuu, tunaongelea sehem unaweza kutoka kidogo ama ukiumwa unaweza kuendelea kupokea
 
Kupokea ela baada ya kazi sio mafanikio mkuu, tunaongelea sehem unaweza kutoka kidogo ama ukiumwa unaweza kuendelea kupokea
Sawa mkuu lakini kupokea hela baada ya kazi sindowatu wameanzia huko kuwekeza na mwisho wakawa na kitu ambacho hata wakiumwa wakaendelea kupok
 
Nimefuatilia njia ambazo wenzetu mliosoma wengi hawafanikiwi wanaamini mafanikio ya njia moja ambayo kila mtu itabidi apitie
 
Nyumbu jike Lamomy anaamini kufanikiwa ni hadi yatokee maandamano uchwara ya kihalifu ili abebe gunia la mchele bega la kulia na mtungi wa gesi mkono wa kushoto mali ambazo siyo zake na haijulikani kazitoa wapi kama alivyofanya October 29
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…