Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

Luck has alot to do with preparation, you have to prepare yourself to be successful ndio maana tunaona political figures wengi wana pave way kwa vizazi vyao either kurithi mali na madaraka.
 
Tunaongelea watu wote mkuu maana kunawatu hawajaenda shule na wamefanikiwa hicho unacho tamani watu wasome nawanifunze aliyeandika nibinadam mfano mimi wa la saba nijifunze wapi zaidi yakufanya na kuangalia


Yes ndo maana kule juu nilielezea kuwa

Life favors no one

Kuwa maisha huwa hayampendelei MTU na maisha ni uhalisia .

Mfano hauitaji kuwa msomi kuwa tajiri au kufanikiwa na haimaniishi usipokuwa msomi utafanikiwa

Sote aliyesoma na ambaye hajasoma we can make it in life

Na hii haitokani na bahati Ila kukaa katika ukweli wa Maisha

Watu ambao hawajasoma they make more money kwakuwa hawaani katika njia moja ya kufanikiwa

Ila msomi utamkuta hanashindwa kunavigate kwakuwa anaamini katika mipaka na kusahau mipaka is useless na haipo

Kama kasomea ualimu atataka akaomae umo umo while dunia na maisha hayatumbi
 
Luck has alot to do with preparation, you have to prepare yourself to be successful ndio maana tunaona political figures wengi wana pave way kwa vizazi vyao either kurithi mali na madaraka.
unaamini bahati ipo ama haipo
 
lazma uwe kwenye track ya kufanikiwa ili ufanikiwe, bahati ni huko kupata connection ya waliofanikiwa ili uwe kwenye njia.
 
lakini wasomi wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko ambao hawajasoma ukichukua katika umati mkubwa
 
Luck has alot to do with preparation, you have to prepare yourself to be successful ndio maana tunaona political figures wengi wana pave way kwa vizazi vyao either kurithi mali na madaraka.


Mkuu mtoa mada huyu kaweka sawa
 
Wa
lakini wasomi wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko ambao hawajasoma ukichukua katika umati mkubwa

Wasomi wanatengeza ideas ambazo huzalisha ajira nyingi Sana .

Mfano kampuni ya META , n.k au uber n.k

Kitu ambacho ambaye sio msomi ngumu kufanya .
 
Wa

Wasomi wanatengeza ideas ambazo huzalisha ajira nyingi Sana .

Mfano kampuni ya META , n.k au uber n.k

Kitu ambacho ambaye sio msomi ngumu kufanya .
kwahio wewe huamini bahati ipo
 
lazma uwe kwenye track ya kufanikiwa ili ufanikiwe, bahati ni huko kupata connection ya waliofanikiwa ili uwe kwenye njia.


Ndo nilielezea hapa mkuu


Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.
 
kwahio wewe huamini bahati ipo


Bahati haipo Ila inatengenezwa

Kama ambavyo ulimuona makonda anakuwa grounded kwa some politicians figure anawafunga Uzi za viatu n.k

Baadae akapa U-DC na sasa ni waziri.

Kizazi chake (Watoto) hawatapitia njia ngumu watakuta everything is there on the table

Sasa hii watu wanaweza kuiita bahati Ila in deep down ni efforts za baba yao.


Kwahiyo kila MTU anajitengenezea bahati yake .


" soma hapa"

"Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction."
 
Mtu atafanikiwa sana kama akiishi kwenye kusudi alilokusudiwa na Mungu.
 
“Great and unexpected successes are often the cause of foolish rushing into acts of extravagance.”
 
Inategemea na ulipozaliwa na serikali inayokuongoza. Ukiwa Norway au Ujerumani ni tofauti na aliyezaliwa Burundi au Tanzania. Viongozi wenu ndiyo wanaamua mtafanikiwa au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…