Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

bahati ingekuwepo watu wasingehangaika na waganga, watu wasingeenda kukaa shule for more th0 years.
Mkuu kila kitu kitapatikana ikiwepo
Wa

Wasomi wanatengeza ideas ambazo huzalisha ajira nyingi Sana .

Mfano kampuni ya META , n.k au uber n.k

Kitu ambacho ambaye sio msomi ngumu kufanya .
Mkuu kufanikiwa ni neno pana hata kabla ya mambo ya shule kueneza watu walikuwa wanafanikiwa kwanamna mtoa mada alivoiweka sioni msomi akitajwa
 
Ndiyo kweli kabisa there's efforts ambazo watu wengi hawataki kuziona wanaishia kuamini bahati
Kubali kataa kuna watu wana bahati aloow sio mchezo..
Sasa mtu anabet anashinda million 500 kama sio bahati ni nini?
 
You have made a terrible error thinking that all JF members are the same


Mkuu - I'm not from ur world , I'm the guy with strict code , I don't play these types of games

I look forward to show you , how the different I'm.

HAYA LAND (HOV).
I look forward to showing you how different I am✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…