Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Tafuta hela wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuUkiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya changanya hovyo na watu.
Maana utasikia yule jamaa msanii atakuwa yule mbana deile tupo naye hapa tunapiga naye stori ni wa kawaida mno.
Kingine usipende kuchati chati ovyo kwenye groups mtu akiwa interested kuchati na wewe akufate inbox
Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane hiyo ni dharau na wamekuchukulia cheap
Watajifanya wana kujua sana kumbe sio kweli. Safi sanaSoon watakuja humu kukutukana kuwa unajiona bora na kuwadharau wengine [emoji23], lkn huo ndio ukweli mchungu hata kama huna pesa usiruhusu unyanyasike na kuchukuliwa powa, kuna muda inabidi uwe na mipaka ili uheshimike, kamwe usiruhusu watu wakuzoee sana maana watakuharibia cv
Hilo nalo NENO!Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya changanya hovyo na watu.
Maana utasikia yule jamaa msanii atakuwa yule mbana deile tupo naye hapa tunapiga naye stori ni wa kawaida mno.
Kingine usipende kuchati chati ovyo kwenye groups mtu akiwa interested kuchati na wewe akufate inbox
Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane hiyo ni dharau na wamekuchukulia cheap
Mimi napokea simu muda wowote na sizimi simu labda itokee nipo safarini lakini sio eti ntasumbuliwa sasa mimi ndio natakiwa nifungue njia harafu naleta vipengele ili iweje maisha yenyewe ndio haya haya...Absolutely true, we pokea simu muda wotewote mana uwezi kujua simu ipi ni ya dharura na simu ipi ni ya salamu! Na hakuna mtu anayekupigia usiku halafu akuambie namalizia dakika zangu huyo atakuwa amekuzoea sana! Binafsi nilishapokea simu usiku sana kumbe kuna mzazi yupo hatua za mwisho ilibidi kuwasha gari fasta. Dharura zipo jamani pokeani simu
Yaani huyu aana kadigrii kamoja ama tuwili nadhani,Ana kanyumba ka vyumba vinne ama vitatu na kabebi woka Fulani ivi,anakula kasarali Fulani Kama 1.5M+ teki homu na halafu benki anayo chini ya 50M. Na hajazaliwa maisha Bora nadhani Kama hajatokea bush Kama mie sijui. Saivi anajiona Kama yeye amekuwa Bora kuliko wengine anawaona Kama nzi kwake. Hajui hata anayekupigia simu usiku anajua mipaka iliyopo baina yenu.Walikuwepo watu muhimu zaidi yako walitembea na magari yenye misafara yenye ulinzi mkali na juu helcopter lakin leo wamelala peke yao chato.
Kama unataka thamani Basi wathamini watu wengine usipo mthamini mtu usitegemee kuthaminiwa kwakua kila unacho fanya utalipwa mfano wake.
Siku utakayopata dharura usiku na ukampigia simu mtu ambae humpokeleagi ndo utajua thamani ya kuthamini
Hujaielewa mada. Soma upya usituharibie uzi.Kuna jamaa alikuwa hivyohivyo,sitaki mazoea sitaki mazoea.Saivi anasalimia Kilamtu nakila mtu ni msaada kwake..
Alipata ajali na gari yake tumiguu Hana anatembelea matako.Watu ni watu tu.
Unaharibu uzi wewe maqalioTafuta hela wewe
Muumba wa mbingu na nchi kuna watu wanamdharau sembuse mimi kiumbe chake!!!Sijaona sababu kubwa ya kuweka limitations dhidi ya watu, kama mtu anakudharau ni tabia yake tu na atakuheshimu muda ukifika.
Binafsi mtu akinidharau nachukulia poa tu maana binadamu tunapita. Sisi sote tupo kwa muda maalam ukipita ndio basi.
SafiWatu wengi tunaishi na wengine kinafki kwa kuhofia tukipata matatizo tutakosa msaada wa namna moja ama nyingine!.
Mtoa mada anazungumzia limit, limit kila mtu ana za kwake,
Mathalani mimi namuwekea kila mtu limit kulingana na mazingira nnayofahamiana nae, i.e mfanyakazi mwenzangu mi na yy ni kazikazi, jirani ni jirani tu hakuna zaidi ya hapo, boss wangu kazini ni kazini tu, ndugu ni ndugu tu na hatakiwi kuinglia kazi zangu, walevi wenzangu ni pombe na eneo la kukutana ni bar tu nje ya hapo ni kuwe na sababu ya msingi sana..
Kuhusu simu hizi kiukweli zimetuondolea ustaarabu, na hua hatuwazii upande wa pili. Mtu akikupigia simu usipopokea anageuza kesi hajui ulikua unafanya nini, au mtu anashindwa kujiongeza kua kuanzia saa 4 usiku mtu amechoka na mihangaiko yake hivyo simu zisizo za msingi za usiku ni usumbufu!.
Hizi simu kwangu mimi binafsi hua naona mtu anipigie mara moja tuu, simu iite mpaka ikate, isipopokelewa nikiiona missedcall ntapiga, kama ni urgent sana basi missed call na angalau meseji moja inayoelezea emergency yenyewe kwa kina na kwa ufupi.
Hujaelewa wewe mkuuHujaielewa mada. Soma upya usituharibie uzi.