Hawa jamaa ukitaka kuwaona mimacho imewatoka Kodo na povu mdomoni ni kwenye maslahi yao tu na si ya Wananchi.Nilitaka wafanye kama wanavyofanya kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mbona wanatusemea japokuwa tuna midomo?? Kwann na hili wasitusemee na kutushawishi tuandamane??
Wape nchi ndo utaona izalendo wao otherwise unawaonea tu. Laumu uliyempa kura yaani kura umpe mwingine halafu lawama umpe mwingine unaona ni akiri hiyoMimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Uko sawa kwa sana,lakin ukimsikilza wazir maana yake inaonyesha walishajiandaa kuzipokea changamoto malalamiko na kila ktu kwa sababu mwenyewe anakir kwel ni mzgo ,sasa najarbu kuwaza ikiwa wapinzan wakiingia moja kwa moja ktk hili suhala si ndio itakua washapata sababu ya kusema hao wanasiasa wapinzan hawapend maendeleo ,hao kila ktu kupnga ,hawana ajenda na mengine japo watakua wanatetea kitu cha kwel,ni ukwel ulio waz watanzania tunaumizana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya uoga wetu na unyonge uliopita kias leo hii ata itokee mtu maaruf au chama cha siasa kiitishe maandamo humpat ata mtu japo wana shida kwel ,sisi ni wa kubuluzwa tu siku mung akiamua kukuita bas ndio mwisho ,sasa hiv nchi nyng mwananchi ndio kipaumbale alaf yanafauata mengne apa kwetu sisi ni tofaut,unaweka kukaa chin ukashikwa na asira unajiuliza kwel kodi nzur na hakuna anaepinga wote tunapenda kulipa kod ikiwa tu inaendana na kipato hiv kwel nitoe elf 20 nikatwe 2800 jaman apo apo alienitumia amekatwa 910 hii kodi au kurudishana nyumaMimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Mimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Utaskia wanaandamana wanataka tume huru ya uchaguzi na mikutano ya hadhara ya siasa ....!! Nafkr tutaendelea kuchengana mpak mwisho
Hawa jamaa ukitaka kuwaona mimacho imewatoka Kodo na povu mdomoni ni kwenye maslahi yao tu na si ya Wananchi.
Wangehimiza maandamano wabunge nao wakatwe Kodi ya Uzalendo.
Unajizungusha tu ukweli ni kwamba wanasiasa wanapigania masilahi yao ya kisiasa hata hiyo katiba mpya msukumo mkubwa kwao ni masilahi yao ya kisiasa kama wapinzani, mimi siwalaumu wanapigania masilahi yao ila sisi ndio tunashindwa kujua ni yapi masilahi yetu na yepi ni ya wanasiasa matokeo yake wanasiasa wanatutumia katika kudai yale yenye masilahi kwao kuliko kwetu.Labda ndio umeanza kufuatilia siasa sasa, sio mara moja au 2 hao wapinzani wamepigania hayo maslahi ya wananchi, pitia Hansard za bunge usikie michango yao. Na wapinzani wamegundua udhaifu wa katiba ndio umepelekea kupora nguvu ya wananchi. Kwa sasa wameweka nguvu kwenye kudai katiba ili kurudisha nguvu za wananchi. Hata hivyo sio lazima ww uwe pamoja na hao wapinzani, unaweza kudai hizo haki zako bila kuhitaji msaada wa hao wapinzani, maana hakuna mpinzani anakuzuia kudai haki yako.
Magufuli alitufanya watanzania tufahamu sura halisi ya upinzani wa Tnzania.Hapa wapinzani uchwara huwezi wakuta, wao wanataka madaraka tu na sio kuwatetea wananchi
Kipindi Magu anawapigania wananchi wanyonge walimpopoa kwa mawe, tena sio kidogo! Sana tu
Walivoanza kudai katiba mpya wakaanza kutulazimisha kuwa ni takwa letu! Wakati hakuna hata mwananchi mmoja wa hali ya chini aliyekuwa anazungumzia mambo ya katiba
Leo ndo utegemee kuwa waungane na wananchi kupaza sauti kuhusu mabando? Watu walewale ambao walimbeza magu kipindi anapambana na uonevu wanaofanyiwa watu masikini?
Sahv wapo kimya, subiri hili lipite uone watavoanza kulazimisha kuwa wananchi wote tunalilia katiba wakati hiyo katiba ni kwa manufaa yao wenyewe
Tatizo hamuelewi kwamba katiba mpya imebeba yote hayo. Mfano wangepinga bajeti Rais anavunja bunge so ina maana kelele iwe nje au ndani ya bunge haziwezi saidia kama Rais akiweka pamba masikioni.Hawa jamaa ukitaka kuwaona mimacho imewatoka Kodo na povu mdomoni ni kwenye maslahi yao tu na si ya Wananchi.
Wangehimiza maandamano wabunge nao wakatwe Kodi ya Uzalendo.
Utakuwa huna uelewa wa madai ya wapinzani. Katiba mpya itabeba mambo yote hayo, waziri au bunge litatakiwa kupata maoni ya wananchi kabla ya kutoa maamuzi yanayohusa wananchi moja kwa moja.Nilitaka wafanye kama wanavyofanya kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mbona wanatusemea japokuwa tuna midomo?? Kwann na hili wasitusemee na kutushawishi tuandamane??
Wakati mnawapora ushindi hamkufikiria mambo kama haya?Umeongea point sana nilitegea wapinzan kutumia mwanya huu kujijenga zaid nilitegemea wameita wandishi wa habar kulaani vikali nakuomba bei zirud kama mwanzo viongoz ni mpuuzi ntupu ( mzee mpili voice
Ofcourse, kipindi cha Slaa ndo kulikuwa na upinzani wa kweli na nikiwa bado chalii mdogo nliipenda sana chadema!Magufuli alitufanya watanzania tufahamu sura halisi ya upinzani wa Tnzania.
Walipokua bungeni wakipinga miswada mibovu na bajeti zisizotekeleza mlikuwa mnasema wapinga maendeleo sijui wasipewe mishahara maana wamepinga bajeti eti leo hii mnataka wapinge tena?Unajizungusha tu ukweli ni kwamba wanasiasa wanapigania masilahi yao ya kisiasa hata hiyo katiba mpya msukumo mkubwa kwao ni masilahi yao ya kisiasa kama wapinzani, mimi siwalaumu wanapigania masilahi yao ila sisi ndio tunashindwa kujua ni yapi masilahi yetu na yepi ni ya wanasiasa matokeo yake wanasiasa wanatutumia katika kudai yale yenye masilahi kwao kuliko kwetu.
Watu imani zao zote wameweka kwa hao wapinzani kwamba ndio wanapigania masilahi yetu wananchi kila kitu tumewaachia wao hata hili la katiba mpya ndio maana linaonekana ni Chadema maana ndio wako mbele katika hili.
Wengine msemaji wao Mange kimambi,wamemtumia chart ya kuongezeko la tozo ili awasemee ila Mange anaona kichichina hata haelewi hivyo hana la kuongea. Hata hawa wapinzani wetu sidhani kama nao wanaathirika katika hili sie.