Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

upinzani ukageuka na kuwa wakosoaji tena wa zilezile hoja zao
Hoja ipi toa mfano wa moja? Hvi mfano serikali inasema tununue ndege kwa CASH wakati inakataza CAG asikague wala tenda zisiwekwe wazi eti wakihoji oooh wanapinga ndege?? Kuna tofauti ya utekelezaji na malengo.

Ndio maana CAG hufanya performance audit maana unaweza tenga hela ya miradi ila isitekelezwe kama inavyoelekezwa. Sasa unataka kusema CAG anapinga maendeleo kisa anahoji utekelezaji?

Kuna shida kubwa sana ya elimu ya Uraia kuelewa kazi za upinzani kama watch dog wa serikali
 
Matako ww wakati wapinzani wakiwa bungen si ndo haohao walikuwa wanawatetea matokeo yake wakaanza kuwindwa kama kuku mara ngp wameitisha maaandamano na mnawabeza kwa kejeli na ushabiki leo bunge, kata , mitaa chn ya ccm vyote maana si mlikuwa mnasema wapnzan ni wapngaji haya leo hawapo huko wapo wanapambania katiba mpya itakayowabana watawala mjinga mmoja ww unataka waitishe maandamano ya kupnga tozo wakati dawa ni katiba mpya

Nireteeeni gwajimaaaa
Kwann usiwapgie kelele waloptsha huko bungeni
 
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.

Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...... kwa hiyo watanzania wajiandae kuchota pesa maana zinakuja na vyuma havitokaza tena
 
Wapinzani wa Tanzania ni kikundi cha sanaa za maigizo kama KAole group ndio maana wanapigania majukwaa ya kuonekana kama Bunge kurushwa live na mikutano ya hadhara baaasi! Hadi leo hawajuhi kura zao za 2020 ziliibiwaje!!!

 
Mbowe huwezi kumuona kwenye hili! Halimpeleki Ikulu 😅😅😅
 
Pambana na hali yako mliichagua nzi wa kijani wenyewe kodi hadi uvunguni wapinzani tumeamua kuwasusa wananchi mpaka mtie adabu
 
Mambo kama haya watanzania inabidi kuacha kuwategemea wanasiasa kuwatetea,mwanasiasa siku zote ni kigeugeu

Ova
 
Hujui unachouliza. Mona wewe mwenyewe hutetei hayo
 
Magu hajawahi kupigania wanyonge, bali alikuwa anahadaa wanyonge. Usitake kumpa sifa asizistahili.
 
Ukiona nyumbu wanamsifia sana mtu, wapinge kwa nguvu zote

Ujue kuna madhara makubwa yanakuja

Hawanaga vichwa vya kuwaza tofauti na wakionacho leo

Sasa walikua wanatetewa matajiri, kwamba wananyanyaswa

Kibao kimegeuka, tunanyooshwa tusio na chechote mfukoni

Vipi bado anaupiga mwingi?
 
Unye pembeni kusudi utegemee mbowe aje azoe....ebu uwe na akili basi acha utahira mda wote
 
Hao wabunge 350+ wanaokula pesa za bure na kugonga meza hovyo kwanini wasitetee wanyonge?
 
Wewe kweli jingalao wakati unachagua wabunge wa kijani hukujua akina Mbowe wapo?
 
Kumbe unajua yupo Dubai alafu unauliza yu wapi !!!!
 
My friend. Kodi mpya zishakua Sheria iliyopitishwa na wabunge wasiojielewa yaani YES men.
Unataka Mbowe afanye Nini nche ya bunge? Au unawashwa sehemu fulani ya mwili unataka akukune?
Wewe Ni sawa na yule mbunge ndezi aliyesema kiundwe chombo Cha kuidhibiti serikali.
Pathetic
 
Mbowe ana akili sana- Jamaa kafungiwa akaunti zote za benki na biashara zake nyingi kuharibiwa lakini bado aliweza kwenda kuangalia fursa za uwekezaji Dubai na SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…