Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

Yaani ubora na thamani ya kuisikia Qur'an ikisomwa tuuache kwa sababu watu wachache wanacheza "kamari"?!!![emoji44][emoji1787]

Ninamshukuru mwalimu wangu wa saikolojia ,Prof.Abel kwa kunifundisha jinsi ya KUFIKIRI VYEMA haswa AKILI INAPOCHOKA...nijitutumue hivyohivyo tu na SWOC....
 
Usijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
Duuuh...

Wewe mwanachama mwandamizi wa JF unakuwa kama mtoto wa "kindergaten" ?!! [emoji1787][emoji1787]

Kama si maneno ya kusikia kikasuku ,hebu tuwekee hiyo aya inayosema MPIRA ni haramu.....
 
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.

Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari ( maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?

Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.
Hivi sasa watu wanaabudu pesa na wanasiasa wenye madaraka.

Huyo ndio mungu wao.
 
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.

Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari ( maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?

Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.
Elimu ya kiislam ni pana sana, na mijada huwa mingi sana. kwa mfano wapo baadhi ya waislam wanaamini islamic bank ni Riba, tupo tunaoamini ni biashara hamna Riba. Pale kuna masheikh na maulamaa wakubwa sana, wanaijua nini kamari na nini sio KAMARI. kwa ufupi ile sio KAMARI.

NINI KAMARI?
Kamari inahusisha kutumia bahati nasibu kama njia ya kupata faida, badala ya kutumia juhudi, maarifa, au ujuzi. Hii ni kinyume na kanuni za Uislamu ambazo zinahimiza matumizi bora ya mali na kujitahidi kwa bidii.

QURAN KUKTAZA KAMARI
Surah Al-Baqarah (2:219): "Wanauliza kuhusu pombe na kamari. Sema, 'Katika hizi kuna dhambi kubwa na manufaa kwa watu, lakini dhambi zao ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake.' Na wanakuuliza nini watoe katika matumizi yao. Sema, 'Mambo yote ya ziada.' Kwa hiyo Mwenyezi Mungu anakujulisheni kwa ukweli kwamba pombe na kamari ni dhambi na ni kikwazo kwa ibada."
 
Mashindano ya qur'an lakini cha ajabu wanaoumia na kupinga ni wasiokuwa waislamu!
biblia ya sasa hata kurasa 3 hazikai kichwani. Quran hata mtoto wa miaka 6 anaweza kuihifadhi.
Ujazo na Ukamilifu wa Qur’ani:

  • Qur’ani inasisitiza kuwa ni kitabu kilichozungumzwa na Mwenyezi Mungu, na hakina makosa. Surah Al-Hijr (15:9) inasema: "Hakika Sisi ndio tulioweka dhikri, na hakika Sisi tutaitunza." Hii inaonyesha dhamira ya Mwenyezi Mungu ya kulinda Qur’ani na kuihifadhi kwa usahihi.
 
Hivi mnaamini mimi sina akili timamu? Sizungumzii zawadi za washindi wa kusoma Quran, bali kuna kamari kama ya tatu mzuka inachezeshwa wapo watakaoshinda simu, pikipiki, bajaji na gari mbili.

Eleweni hivi nilivyotaja havihusiani na wanaoshinda kusoma Quran hao wana zawadi zao nje ya hizi zinazoshindaniwa kwa njia ya kamari.
Wenye watakuambia bahati nasibu...lakini ndiyo kamari

Ova
 
Hivi mnaamini mimi sina akili timamu? Sizungumzii zawadi za washindi wa kusoma Quran, bali kuna kamari kama ya tatu mzuka inachezeshwa wapo watakaoshinda simu, pikipiki, bajaji na gari mbili.

Eleweni hivi nilivyotaja havihusiani na wanaoshinda kusoma Quran hao wana zawadi zao nje ya hizi zinazoshindaniwa kwa njia ya kamari.
Zinashindaniwaje wa njia ya kamari? Hao washindi wanaopewa zawadi wameweka shingapi kabla ya kushinda zawadi?
 
"Yakhe Dr Matola PhD hao ndo walodhamini mashindano ya hao mabinti.
Japo tunajua kamari ni bidaa, basi haina jinsi make imeambatana na jambo la kheri...!!"
Alisikika shekh mwandamizi kutoka BAKWATA.
 
Usijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
Nikusaidie kitu ili usiwe mjinga Tena, siyo ligi tu kuna mpaka pombe na malaya na maovu mengineyo.
Uislamu hauna mmiliki zaidi ya Allah peke yake na binadamu alipewa aishi nao na nafsi ya huyo binadamu haikalifishwi na Allah, kuwepo kwa uislamu mahali inaashiria kuna watu na si mbuzi, kwa hiyo ukimuona Muislamu kafanya jambo lililo kinyume na Uislamu jua atakumbana na hukmu ya Mola wake,
 
Sasa ndio had watu wa Macca na Madina kwenye Uislam yao?
 
Kwani aliyeandika hapa ni huyo SHEKHE?!![emoji1787]

Jitahidi ule matunda haswa ndizi mbivu(vitamin B6 & B 12 husaidia sana kufikiri vyema).
Na ww ujitahidi kukaa kwenye jua la asubuhi ili upate vitamin, mana kisa limesemwa ambalo halijakufurahisha ndio mana unaleta stress zako kwangu
 
Back
Top Bottom