Shaka Hamdu Shaka,
Kipenzi Cha Mama
Yaani kama hii nchi ni familia ,basi Shaka ni last born[emoji23][emoji23][emoji23]
Mama yoyote kwenye family hawezi kumwacha mtoto wake wa mwisho Tena mtoto mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka hiyo my mom alisafiri kwenda Kenya tu hapo
Jambo kubwa kwangu lilikuwa kumuona Kenyatta senior liiiive lilikuwa jambo kubwa sana nilishindwa nawasimuliaje hata friendmate wenzangu
Mama hakuniacha Mimi licha ya kuwa nilikuwa +20 lakini alikuwa ananiona mtoto
Kaka na dada zangu wote hawajawahi kutoka nje ya bongo hata
weeeee Mimi kurudi ndugu zangu nilikuwa nawaonaje sijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Achilia mbali majirani ,nilijiona natoka Paris, Amsterdam,New York [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha Shaka ale maisha, Duniani tunapita,nafasi yake imefika