Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

CCM bhana!Imagine kwenye msafara wa uwekezaji kuna Mapaka ambayo hata TIN hayana ila yapo front.
16461971146410.jpg
 
Acha upuuzi we jamaa,

Bandiko lako la matangazo ya vitabu weka jukwaa la matangazo.

Shaka hujui kama ni mwana wafalme.

Si tushapigwa nyuma Mwiko tukubali tu.

Ukienda mbele mwiko.

Ukirudi nyuma mwiko.

Kushoto mwiko

Kulia mwiko.

Mama yenu anaifungua nchi.
 
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,

Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?

Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?

Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?

Ujio wa YerickoNyerereApp.

App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa

Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=

Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.

Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.

View attachment 2135726
Ni zamu ya wazanzibari kula jasho la watanganyika
 
Mzee Yeriko, huyu atakuwa na kazi kama ya mpambe wa Mswati ya kuimba sifa.........si unajua chifu lazima uwe na mpambe.
 
Na Mrisho Mpoto nae alikua ameenda Dubai eti kuhamisisha uwekezaji Yani hadi aibu .Sasa badala ya serikali kupeleke watu wenye uelewa na mambo ya uwekezaji wanampeleka Mpoto ambae akimuona TAJIRI anajua kama Malaya Mana sio kwa kijipendekeza huko.

Mrisho Mpoto ni hatli Sana eti Jana analie mjomba wake wa damu kafariki kifo Cha babake GSM mtu kama huyu sio mwema kabisa jamaa Anapenda hela za bure
 
Back
Top Bottom