Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

Mimi ninachojaribu kusema hapa ni kwamba tatizo halipo kwa viongozi, ila kwa wanaoongozwa. Wanaoongozwa ni wanafiki, hawawapendi viongozi wao toka rohoni. Wanatamani viongozi hao hata wawe wanafukuzwa mara kwa mara
Unafiki hauondoki bila ya kukumbushwa uzalendo kuntu....

Mitaala ya shule imebadilika....hawa watoto wadogo watakuwa ni wazalendo kuzidi kizazi chetu kilichozaliwa miaka ya 80 mpaka ya 2000......
 
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,

Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?

Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?

Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?

Ujio wa YerickoNyerereApp.

App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa

Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=

Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.

Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.

View attachment 2135726
Ana Sura nzuri, anapendeza, atavutia wawekezaji!
 
matumizi mabaya ya kodi zenu. ccm ni mchwa unashangaa nn?
 
Threads za kipumbavu zinaanzishwa kila siku humu JF kuponda kila hatua ambayo Rais SSH anafanya. Halafu eti Yericko Nyerere naye ni mtunzi wa vitabu vya KIJASUSI.

Tafuteni mada fikirishi siyo haya maongezi ya jikoni
Ungeziketa wewe hizo threads fikirishi wala tusingesoma za huyo YN
 
Habari za mwenezi taifa wa CCM kuonekana Dubai tunaikomalia sana. Huku mkibeza alienda kununua vipodozi hazitusaidii.

Kuwabeza wanaCCM waliokosa uteuzi kama Makonda na wenzake pia sio busara maana hayo ya kukosa shavu ni ya kwao.

Sisi tujadili mambo ya msingi kama kuwa na sera na hoja zinazoendana na wakati huku tukiwapa elimu wananchi. Hasa namna taifa lao linanyonywa hovyo na wanaCcM huku wakikataa katiba mpya ambayo italeta mabadiliko.
Kwani M/kiti wa Taifa wa CCM wamesharuhusu siasa za kwenda kwa wananchi kuwapa hiyo elimu? Wewe Kamanda uliyechoka vipi tena?
 
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,

Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?

Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?

Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?

Ujio wa YerickoNyerereApp.

App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa

Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=

Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.

Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.

View attachment 2135726
Polepole nadhani Yuko na hasira na Mwenyezi yoyote wa fisiemu
 
Hapo ni kulipana posho tu
 
Lipia tangazo.Unaingia kijanja kwa gia ya kuulizia kuhusu Shaka kumbe unatuletea tangazo !
Wacha janja janja lipia tangazo.Peleka kwenye mada za biashara.
 
Back
Top Bottom