Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

CCM ndo wenye sera na dira ya nchi hii,vipaumbele vyote vinavyofanywa na mama samia vipo ndani ya ilani ya ccm,hivyo shaka yupo dubai kama muoanaji au shuhuda wa utekelezaji wa ilani ya ccm katika serikali,

Tukumbuke mama ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi taifa lakini wakati huo huo ni rais wa nchi hvyo inamfnya kutokuwa mtendaji mkubwa wa shughuli za chama wakati huo bwana shaka ni kama mtu anayedeal na chama tu pamoja na ufatiliaji wa utekelezaji wa ilani
 
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,

Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?

Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?

Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?



View attachment 2135726
Shaka ni mtoto wa Dada yake na Mama Samia, Mh. Rais wetu. Hapo kaenda na mwanae apate exposure ya dunia.

Yaani ni kama wewe usafiri na mtoto wa kaka yako. Hivyo wacha mtoto na mama wale maisha.
 
Daah si kutegemea kama hata hii nayo itakua ishu.... Kwaio Nani asietambua CCM ndio Chama tawala yenye serikali nchi hii... Sasa unashangaa Nini kiongozi wa Chama kilichoshika serikali kuwepo au kuongozana na msafara wa raisi.... [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Nyuzi zingine za kitoto sana
 
kwani watu kusafiri na waaaaatuuuuuuuuuuuuuuuuu wao ni shida? halafu haya yote mboga mboga ndio wanaanzisha wenyewe wanakuja kuomba opinion za wadau huku pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom