Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Bashite hajulikani aliko....Ndiyo nini wewe Bashite?
Mimi ni Jumbe na wanaonijua mbona kunipata ni rahisi tu......
Endelea na uhobobo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite hajulikani aliko....Ndiyo nini wewe Bashite?
Wewe ni mpemba bhanaBashite hajulikani aliko....
Mimi ni Jumbe na wanaonijua mbona kunipata ni rahisi tu......
Endelea na uhobobo....
Duuh 😳😳🤣🤣🤣Hakuna mtanzania mjinga kama hivi, wewe tunakujua ni mpemba
Una chuki na wapemba?!!Wewe ni mpemba bhana
Upumbavu mzigo 🤣🤣Kaa kwenu Pemba
Jamani wa-Tanzania kwa kuoneana wivu? Kwani yeye alijipeleka? Si atakuwa ALIAGIZWA awepo kwenye msafara?Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Yericko huyo...Jamani wa-Tanzania kwa kuoneana wivu? Kwani yeye alijipeleka? Si atakuwa ALIAGIZWA awepo kwenye msafara?
Usijitoe ufahamu.Hiyo ndiyo kazi yako kubwa inayo kufanya uishi
Ndiyo kazi yako wewe kula kulalaUsijitoe ufahamu.
Tuna viongozi ambao wakati mwingine huwa tunawashangilia tukiwaona kwenye majukwaa, lakini rohoni hata hatuwapendi. Yaani ikitokea kwa mfano Mama hapa alipo aamue kuwa anateau baraza jipya kila mwaka, sura mpya kila mwaka, hapo sasa ndiyo utaona walio wengi wetu meno yote 36 nje.Yericko huyo...
Wivu wa Yericko huo.....
Alienda KUBATANIZKuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Yericko naye MSANII?!!!
Kwani alionekana sana kule NGOME YA CHADEMA mitaa ya mbezi beach kwa "ULIPO TUPO" baada ya KUHAMIA CHADEMA......
#Siempre JMT🙏View attachment 2136000
Jibu swali weweThreads za kipumbavu zinaanzishwa kila siku humu JF kuponda kila hatua ambayo Rais SSH anafanya. Halafu eti Yericko Nyerere naye ni mtunzi wa vitabu vya KIJASUSI.
Tafuteni mada fikirishi siyo haya maongezi ya jikoni
Ndio maana chama bora Afrika kinazidi kuwa bora kwa kutuletea chuo cha UONGOZI JULIUS NYERERE pale Kibaha....Tuna viongozi ambao wakati mwingine huwa tunawashangilia tukiwaona kwenye majukwaa, lakini rohoni hata hatuwapendi. Yaani ikitokea kwa mfano Mama hapa alipo aamue kuwa anateau baraza jipya kila mwaka, sura mpya kila mwaka, hapo sasa ndiyo utaona walio wengi wetu meno yote 36 nje.
Wengi wetu hatuna qualities za kuwa viongozi, na wachache wetu tu ndiyo wanazo. Still, hao walio nazo bado tena hatutaki waendelee kuwa viongozi, sijui ni kwa nini?
Wakati wa kula bata!!Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Mimi ninachojaribu kusema hapa ni kwamba tatizo halipo kwa viongozi, ila kwa wanaoongozwa. Wanaoongozwa ni wanafiki, hawawapendi viongozi wao toka rohoni. Wanatamani viongozi hao hata wawe wanafukuzwa mara kwa maraNdio maana chama bora Afrika kinazidi kuwa bora kwa kutuletea chuo cha UONGOZI JULIUS NYERERE pale Kibaha....
je nikishajiunga na hyo app yako hvyo vitabu ntakhwa na uwezo wa kuvi appload au ni lazma kuvisoma ndani ya app?maana hicho cha ujasusi nilikitafuta sana nkatoka emptyKuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Kwa hiyo unataka wakujengee wewe nyumba?Mpuuzi wewe muendelee kuchezea pesa za umma ajili ya kuijenga Zanzibar tukae kimya?